Ni hela gani nyingine yenye thamani zaidi ya Bitcoin?

Ni hela gani nyingine yenye thamani zaidi ya Bitcoin?

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
2,734
Reaction score
1,778
Habari zenu wadau!

Nina kiulizo hapa kwa wale wajuao mambo, pia naamini siwezi kuwa peke yangu nisiyejua, wapo hata wasiojua ninachouliza ni nini, huenda nao wanaweza kujifunza

ikiwa Bitcoin ina thamani kubwa kiasi hiki kuliko dola, je kuna aina nyingine ya hela yenye thamani zaidi ya hii?
Screenshot_20171222-211506.png



Cc;
Nguruvi
Mhenge
Skonge
mshana jr
 
Kumbe hii ni globalised DECI! Mchumi mmoja wa BBC anasema kilio hakipo mbali! It's a matter of time!
 
Ndo maana haina exchange naTs.h tumeitupa mbali mnoo kulee Ila naipendea benki yetu inaiogopa hiyo bitc kama ukoma hawataki hata kuisikia
wanaiogopa maana ina wenyewe tu ika haina monitor!
 
Sahihisha na 3 mzuka.... una zani sifahamu nilicho andika....? una fahamu kila kitu sio...? endelea kukariri bitcoin
Katika public kuna msemo unaweza kuutumia ukabaki bila kueleweka, msemo wako si kila mtu anaweza kuuelewa kama unamaanisha kuwa ni kamari, ndiyo maana nimekusahihisha!

"kuwa sahihi katika msemo, ni pamoja na kutumia akiri juu ya namna ya kuufanya ufikishe ujumbe"
 
Back
Top Bottom