Kwa kumuangalia tu nikajua ni "high maintenance" na hicho kitu kikanipoteza kabisa maana kama ni uwanjani basi niliingia na "underdog mentality".Tatizo lilianza ulipofikiria huyo mwanamke si "level"yako.
Kum-approach mwanamke, ni sanaa na ni mchezo pia.
Kuna kushinda au kushindwa lengo lako.
Ukisikia uduanzi ndio huu sasa. 🤣🤣Umenikumbusha miaka kadhaa nyuma kidogo let say 2021 kuna siku nilienda kujiandikisha nida wilayani, ile nafika tu pale ofisini mishale ya saa 4 asubuhi nakutana na bonge la foleni. Kuna watu kibao wanasubiri kujiandikisha, nami nikaliunga foleni uku nikiwa najilaumu sana kwanini siku damka mapema siku hiyo.
Basi bwana wakati mida inasonga na foleni ikawa inasogea taratibu kwenda mbele yaani kuingia ofisini, kumbe nyuma yangu kulikuwa na pisi mbili kali sana, wamevalia baibui lenye kubana kiuno na ile mitandio mifupi inayoishia kwenye mabega. Kwa muda mrefu nilikuwa nikisia mazungumzo yao ila sikuyatilia maanani, mimi niko bize na simu yangu nikiperuzi jf.
mara nikasikia "hebu muulize huyo mkaka inachukua mda gani kupata kitambulisho baada ya kujisajili nida" gafla nikahisi kama kuna mkono kwenye bega ukishika na kusikia "kaka samahani"
Bila hata kujiuliza maswali nikawageukia walipo nyuma yangu. Mashallah nilikutana na wanawake wazuri aisee, walikuwa weupe na lips nyembamba na ndogo . Itaendelea...
Kama mazingira yanaruhusu wewe usijari hata watu watakuonanje.Kinachonikosesha confidence ya kumsemesha mwanamke sehemu kama hizo uwa ni watu wengine waliopo hapo ila sio demu yani uwa nawaza hawa watu watanichukuliaje alafu mbaya zaidi ninyimwe
Naanza kujifunza kutokujali watu waliopo ila kuhusu demu mara chache sanaaa kuogopa kumsemeshaKama mazingira yanaruhusu wewe usijari hata watu watakuonanje.
Sisi wengi wetu hatujari, tuko busy na mambo yetu.
huu ni uzi kabisa mzeee, tunasubiriInaendelea.... Basi bwana baada ya kugeuka nyuma mazungumzo yakawa hivi
mdada1; kaka samahani hivi nida inachukua muda gani kupata baada ya kujisajili?
mimi; nadhani ni ndani ya miaka miwili
mdada2; miaka 2? Mbona inachukua mda mrefu hivo (akaingilia mazungumzo mimi na yule mdada 1)
mimi; nida huwa wasumbufu sana basi tu ila nadhani ndo utaratibu wao kuna kusubiri (nikajibu kwa sauti ya chini ili mambo yasijekuzuka mengine).
Basi Mazungumzo yakaendelea mimi na yule dada wa kwanza. Mimi na yeye tulikuwa karibu sana mita chache sana uku tuki tazamana. Akiwa anaongea namuangalia lips zake nami nikiongea ana angalia zangu kuna muda macho yetu yanaangiliana kiasi cha kwamba kila mtu anakitu atakumuambia mwenzie japo kwa aibu.
Mimi nikaona tushazungumza sana sasa inatosha acha nifocus na kilichonileta nikampa mgongo nikageuka upande wa mbele kuilekea foleni.
baada kama dk chache tukiwa kwenye foleni, yule mdada wa kwanza akanishika bega na kuniita kaka samahani. Nilipogeuka akaniuliza unakaa wapi? Itaendelea..
Endelea mzeehuu ni uzi kabisa mzeee, tunasubiri
huu ni uzi kabisa mzeee, tunasubiri
Endelea mzeeInaendelea.... Basi bwana baada ya kugeuka nyuma mazungumzo yakawa hivi
mdada1; kaka samahani hivi nida inachukua muda gani kupata baada ya kujisajili?
mimi; nadhani ni ndani ya miaka miwili
mdada2; miaka 2? Mbona inachukua mda mrefu hivo (akaingilia mazungumzo mimi na yule mdada 1)
mimi; nida huwa wasumbufu sana basi tu ila nadhani ndo utaratibu wao kuna kusubiri (nikajibu kwa sauti ya chini ili mambo yasijekuzuka mengine).
Basi Mazungumzo yakaendelea mimi na yule dada wa kwanza. Mimi na yeye tulikuwa karibu sana mita chache sana uku tuki tazamana. Akiwa anaongea namuangalia lips zake nami nikiongea ana angalia zangu kuna muda macho yetu yanaangiliana kiasi cha kwamba kila mtu anakitu atakumuambia mwenzie japo kwa aibu.
Mimi nikaona tushazungumza sana sasa inatosha acha nifocus na kilichonileta nikampa mgongo nikageuka upande wa mbele kuilekea foleni.
baada kama dk chache tukiwa kwenye foleni, yule mdada wa kwanza akanishika bega na kuniita kaka samahani. Nilipogeuka akaniuliza unakaa wapi? Itaendelea..
NaaaamInaendelea... Mida ikasonga foleni ikawa inasogea ila naona najiuliza mbona haniiti? Au nimgeukie? Je nikimgeukia nimwambie nini? Au maneno gani? Mwanaume nakosa majibu. Leo naionea aibu pisi kali iliyopo nyuma yangu. Nikaamua kuwa mpole ngoja nimalize kwanza kujiandikisha then niangalie namuingiaje huyu mdada.
nikiwa kwenye foleni nikaanza kupanga maneno ya kumuambia, ngoja nitamuuliza kama atakubali tukae mahali tuzungumze alafu mda unaelekea mchani ni vizuri tukapa lunch pamoja" Yote hayo nilikuwa nawaza.
ikafika zamu yangu kuingia ofsini kujiandikisha, yule mdada akawa kasimama mlango pale foleni inapoishia kusubiri atoke aliye ingia then nawe ndio uingie.
taratibu za kujiandikisha zikaanza naulizwa majina yangu matatu, mwaka wa kuzaliwa, kabila, majina ya wazazi, nk..
yule mdada akawa makini sana jinsi ninavyojibu yale maswali akiwa kasimama pale mlangoni, akawa ananiangalia sana hadi ilipofika mda wa kupiga picha passport niliyona aibu yaani itaendelea...
Mtoto black beauty halafu nyuma amefungashia mavi ya kutosha au sio?Siyo big deal kihivyo, ni life/love experience tu nime-share. Siyo kwamba ni kitu kitanikosesha usingizi.
View attachment 3207265