Fuatlia kinachoendelea Zambia. Jeshi limevamia nyumbani kwa Mandubile na kumchukua yeye na familia yake kwenda kuhojiwa. Haya mambo hayakuwepo Zambia. Marais wote waliotolewa walitoka kwa amani ila huyu analeta mambo ya hovyo.Kwa ninimkuu 'econo', si angalau hajauwa waZambia hadi sasa ili abaki madrakani?
Au kishaiba kura?
Binafsi naona kama pametulia.
Hayo sikuyajuwa mkuu, asante kwa taarifa.Fuatlia kinachoendelea Zambia. Jeshi limevamia nyumbani kwa Mandubile na kumchukua yeye na familia yake kwenda kuhojiwa. Haya mambo hayakuwepo Zambia. Marais wote waliotolewa walitoka kwa amani ila huyu analeta mambo ya hovyo.
Yaani wapinzani bhana...CHADEMA wakati Hichilema anaingia madarakani na kutangazwa tulishangilia kua huko kuna uchaguzi huru na haki..Leo hii tumemgeuka kua anataka kuiba kura kama tunavyofikiri huku...daah.bora huko kuna TUME HURU kuliko malawi ambako mtu anapata 98% halafu anaanza kubembeleza maridhiano
Kwahiyo tayari mpinzani anataka kujitangaza kua ameshinda..Yaani mambo ya uchaguzi kusema kweli sio mambo yetu Afrika.Fuatlia kinachoendelea Zambia. Jeshi limevamia nyumbani kwa Mandubile na kumchukua yeye na familia yake kwenda kuhojiwa. Haya mambo hayakuwepo Zambia. Marais wote waliotolewa walitoka kwa amani ila huyu analeta mambo ya hovyo.
ko unataka kama anaiba aachwe tu kisa amewahi kuwa mpinzani?Yaani wapinzani bhana...CHADEMA wakati Hichilema anaingia madarakani na kutangazwa tulishangilia kua huko kuna uchaguzi huru na haki..Leo hii tumemgeuka kua anataka kuiba kura kama tunavyofikiri huku...daah.
Hapana mkuu,sema ujanielewa vizuriko unataka kama anaiba aachwe tu kisa amewahi kuwa mpinzani?