Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani labda wanazo nyingi...ujasirilimali si huku na huko!Sasa pls tell me kwahiyo hawa wadada hiyo pesa inawatosha kudu mambo yote haya??!!
Jamani mtu akichapa kazi KAIBA...Akiwa mzembe LOFA!Ingekuwa zamani tungesema labda usalama wa taifa ila kwa ulimwengu huu...................
Manake utakuta mchaga shoe shine alafu ana nyumba ya maana gari la maana na maisha yanaenda
we unafikirije jibaba?
mi nishawahi kununua sinia zima la ndizi nipate wasaa wa kimwana