Ni hii Business ndo inayowapendesha hivi??!!

Ingekuwa zamani tungesema labda usalama wa taifa ila kwa ulimwengu huu...................
Manake utakuta mchaga shoe shine alafu ana nyumba ya maana gari la maana na maisha yanaenda
 
Jamani mtu akichapa kazi KAIBA...Akiwa mzembe LOFA!
Wav wataacha kujituma kwa majungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…