ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Katafute interview moja alifanya ibenge itakusaidia kuhusu simba yaani simba kwenye Caf champions league hawachezi vile na usije ukaangalia simba kwenye league kama umepangwa nayo Caf champions league it's totally different.Baada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo.
Ni lweli mpira una matokeo matatu na kiukweli sisi tunakwenda kupambana kwa kadri ya uwezo wetu,tukimtegemea mungu pia katika yote
Lakini mwisho leo baada ya kuiangalia simba ikipambana na kutoka suluhu kule singida,simba hii hii iloyopoteza kwa azam hivi karibuni kweli italeta upinzani kwa akina Mamelodi huko makundi?au kuna kikosi cha ziada?nini tutegemee?
Eeh mungu tutangulie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kaka upo?ulisema safari yetu ingeishia hapo pls hebu tengua kauli yako harakaSafari yenu inaishia hapo.Simba haendi mahali
🤣🤣🤣🤣Kaka upo?ulisema safari yetu ingeishia hapo pls hebu tengua kauli yako haraka
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mnajipa moyo tu.. simba ya chama, miquison na kagere sawa ila sio hii ya wakina kibuKatafute interview moja alifanya ibenge itakusaidia kuhusu simba yaani simba kwenye Caf champions league hawachezi vile na usije ukaangalia simba kwenye league kama umepangwa nayo Caf champions league it's totally different.
Mizigo ya miibaTuombe Dirisha Dogo Mo Amerudi kwenye Timu tunaimani atasajili.
SIMBA HAINA WACHEZAJI WAKUBWA, WAZURI WA KUAMUA MECHI KUBWA.
HAWA AKINA.
SAKO.
BANDA
KIBU.
OKWA.
Dejan.
Onyango.
Ottara.
HAWA NI MIZIGO.
Umemshinda ihefu timu ya mwisho kwa shida eti unakwenda kumtoa mamelodi...jamani jamani..mtoa mada hujui mpira umewaza kimama sana,mi nilidhani utachambua kitaalamu makosa ya simba na kipi cha kurekebisha ila kwa upumbavu wako na upoyoyo eti kwa kuwa simba amedroo na singida na kufungwa na azam ndio mana hatafanya kitu CAF,aliyekwambia huko CAF timu hazijafungwa wala kudroo kwenye ligi zao ni nani? kwani siku zote simba ikiingia makundi na kuvuka anakua hajafungwa nyumbani wala kudroo?? kwani simba kutopata nmatokeo kwa azam au singida manake hizo timu ni vilaza?
Acha porojo za kijiweni kwa mwendo huu wa kutoana jasho na ihefu huko mbele patakua pagumu sanaKatafute interview moja alifanya ibenge itakusaidia kuhusu simba yaani simba kwenye Caf champions league hawachezi vile na usije ukaangalia simba kwenye league kama umepangwa nayo Caf champions league it's totally different.
Kwani mkuu DEJAN mpaka leo hii bado anachezea simba eeeh 🤣🤣🤣Tuombe Dirisha Dogo Mo Amerudi kwenye Timu tunaimani atasajili.
SIMBA HAINA WACHEZAJI WAKUBWA, WAZURI WA KUAMUA MECHI KUBWA.
HAWA AKINA.
SAKO.
BANDA
KIBU.
OKWA.
Dejan.
Onyango.
Ottara.
HAWA NI MIZIGO.
Wewe mwendo ulishaumalizaSafari yenu inaishia hapo.Simba haendi mahali
Yetu machoWewe mwendo ulishaumaliza
Siku hazifanani mkuu, ni kawaida katika maisha kushuka na kupanda. Upe muda wakatiBaada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo.
Ni lweli mpira una matokeo matatu na kiukweli sisi tunakwenda kupambana kwa kadri ya uwezo wetu,tukimtegemea mungu pia katika yote
Lakini mwisho leo baada ya kuiangalia simba ikipambana na kutoka suluhu kule singida,simba hii hii iloyopoteza kwa azam hivi karibuni kweli italeta upinzani kwa akina Mamelodi huko makundi?au kuna kikosi cha ziada?nini tutegemee?
Eeh mungu tutangulie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app