ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Baada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo.
Ni lweli mpira una matokeo matatu na kiukweli sisi tunakwenda kupambana kwa kadri ya uwezo wetu,tukimtegemea mungu pia katika yote
Lakini mwisho leo baada ya kuiangalia simba ikipambana na kutoka suluhu kule singida,simba hii hii iloyopoteza kwa azam hivi karibuni kweli italeta upinzani kwa akina Mamelodi huko makundi?au kuna kikosi cha ziada?nini tutegemee?
Eeh mungu tutangulie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app