Ni hospitali gani naweza kumaliza tatizo la uume legelege??

kama huna kisukari, na huna ugonjwa wa moyo nikupatie dawa ya asili urejeshe heshima.
 
Mkuu, kama Main gate, mzigo unakuwa legelege, wewe fanya kama unaingia Back door...utakuwa imara na wima, kama askari ya Kijerumani!
 
Haya mambo haya myasikiage tu. Ni fedheha na majuto, omba yasikupate ni zaidi ya aibu
 
Inawezekana ikawa kweli maana kuna jamaa alinishauri nitafute pesa tu uwezo wa kugegenda utakuja tu, anasema hata yye akiwa hana pesa uwezo wake unashuka kwa kasi ya ajabu
Ushauri mahsusi huu ufuate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…