- Thread starter
- #21
Kwa hiyo mungu katupa tatizo lisilokuwa na ufumbuzi??Hospitali inayo toa tiba hiyo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mungu katupa tatizo lisilokuwa na ufumbuzi??Hospitali inayo toa tiba hiyo....
Nipatie mkuu, unapatikana wapi?? Naweza ipataje??kama huna kisukari, na huna ugonjwa wa moyo nikupatie dawa ya asili urejeshe heshima.
Nimekuelewa nitazingatiawacha punyeto na kula vyakula vya wanga na mafuta kidogo.palachichi na ndizi kwa wingi.WACHA KUPIGA BAO LA MKONO.
swissme
Umeona eeee, we acha tu, nitonye nitaepuka vipi hili jangaHaya mambo haya myasikiage tu. Ni fedheha na majuto, omba yasikupate ni zaidi ya aibu
Haya ya kweli mkuu??Mkuu, kama Main gate, mzigo unakuwa legelege, wewe fanya kama unaingia Back door...utakuwa imara na wima, kama askari ya Kijerumani!
Nakusubiri unifanyie mpango wa hiyo dawa aiseekama huna kisukari, na huna ugonjwa wa moyo nikupatie dawa ya asili urejeshe heshima.
PunyereUnaweza kutuambia chanzo cha tatizo?
sawa mkuu, haina shidaNakusubiri unifanyie mpango wa hiyo dawa aisee
Ushauri mahsusi huu ufuate!Inawezekana ikawa kweli maana kuna jamaa alinishauri nitafute pesa tu uwezo wa kugegenda utakuja tu, anasema hata yye akiwa hana pesa uwezo wake unashuka kwa kasi ya ajabu
Ndo napambana naamini ndani ya mwaka huu nitakuwa vizuri sana kipesa, nione hali inakuajeUshauri mahsusi huu ufuate!
Sisumbuliwi na hayo magonjwa mkuusawa mkuu, haina shida
hakikisha tu hauumwi figo, bp au kisukari!
Punyeto sipigi mkuuPunyere
kwa hiyo ukiwa na ngoma kama hii 7 haupigi? picha hapo chini.Punyeto sipigi mkuu
Hapa ndipo penye tatizo acha kabisa nyeto...Nimekuelewa nitazingatia