GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Yaani nihonge Kung'olewa Jino / Meno? Sasa si bora nijenge tu Urafiki wa muda na Bondia Mwakinyo nimchokoze anipige Ngumi na Jino ling'oke?Lazima uhonge.Maisha ni magumu.
UJENGE URAFIKI KISHA UMCHOKOZE? Hahahaaaa kweli we popoma. Hebu pita 94KJ WANAUME wakung'oe hiyo mi Ronaldinho.Yaani nihonge Kung'olewa Jino / Meno? Sasa si bora nijenge tu Urafiki wa muda na Bondia Mwakinyo nimchokoze anipige Ngumi na Jino ling'oke?
Naishi jirani tu na Hospitali yao Kuu ila hata niambiwe wataning'oa bure siendi ng'o. Watu wanang'oa Jino kwa Hasira utadhani wanategua Bomu!UJENGE URAFIKI KISHA UMCHOKOZE? Hahahaaaa kweli we popoma. Hebu pita 94KJ WANAUME wakung'oe hiyo mi Ronaldinho
Kwa Umasikini (Ukapuku) wangu Tukuka kabisa GENTAMYCINE unadhani Mkuu nitakuwa na hiyo BIMA kama hata Kula yangu tu ya leo hii siijui?Regency hospital wana huduma nzuri ila uwe na bima
Hiki Kitengo cha Mano na Macho hapo Mnazi Mmoja Hospital ni Kipya au? Mano na Macho Department.Kuna wakati mnazi mmoja hospital ilikua bora sana kwenye kitengo cha mano na macho.
Haya, nenda ka edit comment yako Mimi tayari😁Hiki Kitengo cha na Macho hapo Mnazi Mmoja Hospital ni Kipya au? na Macho Department.