Ni Hospitali ipi au Daktari yupi hodari kwa uzazi (kwa wanaume) Dar?

Ni Hospitali ipi au Daktari yupi hodari kwa uzazi (kwa wanaume) Dar?

Joined
Mar 15, 2015
Posts
31
Reaction score
16
Wadau heshima yenu,

Nina tatizo japo sio la muda mrefu sana, katika maeneo yetu ya uzazi wanaume. Moja ya sababu ninazohisi ni kunywa mara kwa mara dawa za Malaria za Kichina hasa Artesunate na Artemether kama vile Duo- cotecxin.

Naomba yeyote anayejua Hospitali nzuri au hata Doctor mzuri kwa Dar nijulishe kwa PM au hapa tu..
 
Kama una tatizo la uzazi mwone Dr Kapona.Yupo Muhimbili au hospitali yake chanika.Ni mtaalam wa magonjwa ya akina mama pamoja na akina baba.
 
Back
Top Bottom