Ni Hotel gani nzuri kufikia mitaa ya Tegeta mpaka Madale?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wataalam wa maeneo hayo naomba ushirikiano wenu

Kuna mgeni wangu anataka kufikia mitaa hiyo

Sasa kama kuna mtu anajua hotel mzuri au lodge mzuuuuri ambayo kuna restaurants na vibia kidogo
 
Wataalam wa maeneo hayo naomba ushirikiano wenu

Kuna mgeni wangu anataka kufikia mitaa hiyo

Sasa kama kuna mtu anajua hotel mzuri au lodge mzuuuuri ambayo kuna restaurants na vibia kidogo
Una bajeti kiasi gani?
 
Tegeta yote mpaka madale
Ulizia Fairway Pub kuna bar yenye vinywaji na vyakula vya aina zote na pia kuna kihotel hapo hapo na kuna DJ wao anapigisha miziki ya watu wazima yenye vibe,ni sehemu yenye usalama mkubwa maana ni sehemu inayopendelewa na washua zaidi.
Fairway ni mbele baada ya umbali kama mita 400 kutoka Kibo Complex.
Ukivuka Hospitali ya Rabininsia kwa mbele kidogo utaiona upande wako wa kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…