Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tegeta viwanja mbona vingi sana?Wataalam wa maeneo hayo naomba ushirikiano wenu
Kuna mgeni wangu anataka kufikia mitaa hiyo
Sasa kama kuna mtu anajua hotel mzuri au lodge mzuuuuri ambayo kuna restaurants na vibia kidogo
kama na vibia kidogo tulia hapo opp kibo complex hapo hadi nyama zipo!Nitajie vichache
Una bajeti kiasi gani?Wataalam wa maeneo hayo naomba ushirikiano wenu
Kuna mgeni wangu anataka kufikia mitaa hiyo
Sasa kama kuna mtu anajua hotel mzuri au lodge mzuuuuri ambayo kuna restaurants na vibia kidogo
Ulizia Fairway Pub kuna bar yenye vinywaji na vyakula vya aina zote na pia kuna kihotel hapo hapo na kuna DJ wao anapigisha miziki ya watu wazima yenye vibe,ni sehemu yenye usalama mkubwa maana ni sehemu inayopendelewa na washua zaidi.Tegeta yote mpaka madale
sina uhakika nilijua unaanza na bata kwanza ndo maana nikakuelekeza hapo, fuata ushauri wa mbu!Kibo kuna rooms?