Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ina vitanda virefu?Johari Rotana ,jioni unatembea tembea na mtoto mjini kati mnakula shawarma
Huko uswahilini.Marwa lodge Pugu kajiungeni
Okay nilitamani ya bei ghali ila ngoja tuone.Kilimanjaro au kempisky inavitanda virefu na bei ni ndogo tu Kwa siku
Umewahi kufika Pugu kajiungeni!?Huko uswahilini.
Hapana, jina linanitisha.Umewahi kufika Pugu kajiungeni!?
Hapa sio uswahilini
Itafute hutajutaHapana, jina linanitisha.
Poa mkuu.Itafute hutajuta
Eeeeh kempisky ipi hiyo😂Kilimanjaro au kempisky inavitanda virefu na bei ni ndogo tu Kwa siku
Katupiga?Eeeeh kempisky ipi hiyo😂
Haswa🤣🤣Katupiga?
Ohooo.Haswa🤣🤣
Ina majina mengi.zamani iliitwa Hivyo baadae ikaitwa Hyatt regency na Kwa Sasa ni the kilimanjaroEeeeh kempisky ipi hiyo😂
Dadeki..walahi au ngoja ninyamazeIna majina mengi.zamani iliitwa Hivyo baadae ikaitwa Hyatt regency na Kwa Sasa ni the kilimanjaro
Eeeeh, majina mengi kwa vipi? Hata kwa sasa jina siyo sahihi. Jiongeze kidogo basi🤣Ina majina mengi.zamani iliitwa Hivyo baadae ikaitwa Hyatt regency na Kwa Sasa ni the kilimanjaro
Unapwndq kuinamiasha siyo?Johari Rotana ,jioni unatembea tembea na mtoto mjini kati mnakula shawarma