Ni huduma gani uliyopata kutoka Taasisi ya Umma/Binafsi kinyume na matarajio ikakustajabisha?

Mleta mada wanaohakiki sio wanaotoa vyeti kuna segregation of duties naona wewe ndie hujielewi kabisa
Vyeti vyote vilikuwa vinahakikiwa palepale RITA utofauti wake ni kwamba ulitakiwa ujaze taarifa zote kielectronic zitumwe kwa email ya RITA...
 
Tanesco walinishangaza kidogo.

Inafahamika ukilipa ili ufungiwe umeme (line mpya) inachukua mpaka miezi mitatu na kuendelea, ila ilinishangaza mara baada ya kulipia benki ndani ya wiki napigiwa simu wapo njiani.

Nadhani kama wanawatendea wengine hivi basi wamebadirika na kongore kwao.
Bado hawako vzr maeneo yote yaani TANESCO kwa ujumla na baada ya kusoma andiko lako nimepata ushahidi mwingine.

1- nilimtuma mtu akiwa na viambatanisho vyangu anichukulie fomu ya kuomba kuungiwa umeme wakakataa ( wakati Tanesco hao hao maeneo mengine wanaruhusu mtu baki akuchukulie fomu)

2- nilienda mm mwenyewe nikapewa nikachukua fomu 2 kwa maana ya kuunganishiwa mita 2 .

3- surveyor alipokuja kanipitishia fomu 1 nyingine kasema mpaka ile moja itakapo pata umeme.

4- nikaenda ofisi za Tanesco , nikaambiwa network iko chini siwezi pata makadirio yangu. ( Kumbuka toka kwangu mpk Tanesco ni safari)

5 - baada ya kuhangaika na kuripoti jamii forum Tanesco nikapata makadirio yangu nikaripia. 27/3/2020

6- Nikaenda kujulisha nimelipia , nikapewa jibu kuwa sikuhitjika kwenda nisubiri siku 60 za kazi.

7- ilipofika tarehe za mwezi wa 6 nikatumia jamii forum Tanesco ikawa neno tunafuatilia. No jibu mpaka leo.

8- nikajaribu mm mwenyewe kupiga Tanesco nikapewa no za huduma kwa wateja. Nilipopiga nikajibiwa niendelee kusubiri wateja ni wengi wanamalizia wateja waliolipia mwezi Feb.( Jibu zuri)

Lkn nikamshauri mtoa taarifa hii ni Mkataba mnapoona mmeshindwa kutekeleza kwa wakati! Mjulisheni na mteja kwa meseji.

9- tarehe 9/7/2020 wamenipigia wakiulizia eneo lipo wapi ili wafikishe nguzo. Na wakanijulisha kuwa sio siku nyingi watakuja kufunga umeme( sijui hizo sio siku nyingi kwao ni ngapi?)

10- Hili silifikirii sana, kinachoniumiza kichwa ni ile fomu yangu ya pili, maana ningesumbuka mara 1 tu, sasa baada ya hili kwisha bado ninacho kibarua kingine.

11- andiko lako linafanana na rafiki yangu nilipomsimulia kadhia hii, alishangaa na kusema yy wakati anasubiri kuunganishiwa umeme siku zilipopita alijulishwa kwa sms avute subra.

12- vijumba vyangu vya kupangisha nakwamishwa na Tanesco , kila mteja anashindwa sababu ya umeme . Uchumi wangu kufikia KATI umekwama.

Kongole kwa TAIFA.
 
[Duh..!
 
NHIF wanahuduma za ajabu sana na wanaringa,,, ukienda ofisin kwao unaweza kukata tamaa
 
Uhamiaji Moshi, Yani pale rushwa wamefanya sehemu ya huduma zao.

Ukienda kuapply passport baada ya kujaza form online ukiipeleka pale ndio ipitishwe ili ukapigwe picha Yani lazima utoe rushwa ya elfu 40. Lasivyo utazungushwa Kila siku kuwa bado haijapitishwa.

Kifupi pale inajulikana elfu 40 lazima umpe wale maafisha uhamiaji wanaopeka form ndo Mambo mengi yataendelea.
 
wanakwambia au ndo unajiongeza?
 
Hawa jamaa wameaadvance sana siku hizi, tatizo ni metre zao zikiharibika baada wakupe bure wanakuuzia tena kwa 380k...
Wanatoa bure,nilitoa taarifa ya ubovu wa metre alhamisi,jumapili wakaja kunifungia bureee!
 
wanakwambia au ndo unajiongeza?
Watakuzungusha nenda Rudi nyingiii ili uchoke. Halafu mwisho wa siku wanakuchana Live toa kitu usaidiwe.

Siku niliyoenda kupigwa picha tulikuwa zaidi ya watu kumi tukipiga story wote wanasema walitoa rushwa baada ya kuzungushwa Sanaa. Na amount Ni hiyo 40k haishuki chini ya hapo.
 
hatari.so ilichukua mda gani Hadi ukapewa passport?
 
Watakuzungusha nenda Rudi nyingiii ili uchoke. Halafu mwisho wa siku wanakuchana Live toa kitu usaidiwe.

Siku niliyoenda kupigwa picha tulikuwa zaidi ya watu kumi tukipiga story wote wanasema walitoa rushwa baada ya kuzungushwa Sanaa. Na amount Ni hiyo 40k haishuki chini ya hapo.
Duh..!
 
Wanatoa bure,nilitoa taarifa ya ubovu wa metre alhamisi,jumapili wakaja kunifungia bureee!
mkuu zile metre za kuingizia umeme, wanatoa bure tangu lini? au unazungumzia nini
 
Kwaku hamna aliyeitaja acha niitaje.

PSSSF ni jipu. Fomu zao wanatumia lugha ya kiingereza. Anayefuatilia malipo ni wa kijijini hata kiingereza hajui.

Receptionist kumsaidia mtu kujaza fomu ni mtihani.

Ofisi zao zipo mbali mbali na utakuta ati wewe mtu uliye Songea ni sharti ufuate sahihi wa Meneja wa PSSSF Mbeya.

so mtu uko broke, unazurura mahakamani, na kwao kwenyewe nenda rudi nyingi. Unajikaza unajaza fomu. Miezi miwili mbele unatumiwa barua kua fomu zako zimekosa attachment fulani, ambayo wewe uliiweka.

Anyway, unaichukua tena attachment unaituma. Unapokea barua mwezi mbele, ikiwa na attachment yako unaambiwa unatakiwa uanze process nzima mpya.

Huu urasimu ni wa ajabu kidogo. Process imekwama kwakua kitu A hakipo hii siyo ilitakiwa kumaanisha kikija kitu A process ianzie pale? Badala yake unaambiwa uanze upya. Zile nauli zako na muda kwao siyo ishu.

Unajikaza unaanza process upya, unamaliza. Kisha kutahamaki unaenda mwaka mwingine, haujapokea barua wala madai yako.

Wenzetu wenye connection mnakumbwa na hili swala pia? Au lazima tumsimamishe Rais katika msafara wake na kumlilia shida?
 
Nazungumzia meter,yangu iliharibika nikatoa taarifa.Ndani ya siku mbili nikafungiwa nyingine bure.
mkuu zile metre za kuingizia umeme, wanatoa bure tangu lini? au unazungumzia nini
 
TRA dar samora

Pale ukiingia unakaa folen

Folen ni ndefu ya balaa lakn wale wafanyakaz wana watu wao wanaowaletea kaz kwa vimemo na wengne wanawapa kaz kwa kuwapigia sim matokeo yake mliokaa folen hamhudumiwi kwa wakati had wa vimemo na simu waishe kwanza.

Ningekuwa bos wa apo hawa wafanyakz wote ni wa kunyang'anya sim hadi muda wa kaz uishe maana ni wapmbav sn.
 
Nililazwa hospital ya rufaa Iringa,huduma ilikua nzuri si manesi si madokta wasikivu na sharp nilishangaa Sana hadi nilihisi nipo private
 
Back
Top Bottom