Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wewe huwa unaangalia mpira au unasikiliza kwenye redio ,hukuona matukio ambayo alifanyiwa kibu na wengine ambayo yalistahili adhabu ya penalt na kadi au ndio nyuma mwiko mkuuKayoko ni kijana mdogo si jambo la busara kumpa mechi nyingine ya Yanga na Simba kwa sasa kwakua endapo Simba
atapoteza mechi watapata kichaka cha ku msingizia Kayoko na ita mletea taabu katika maisha yake ya urefa.
Hivi karibuni Kibu na Kapombe wamekua na tabia za kujiangusha ili wapewe Penalty.
Mechi iliyopita alichezesha vizuri ila kwakua Simba walipoteza na hawakua na waku mshutumu zaidiya kayoko.
Kama utarudia kuangalia ile mechi bado unaona alichezesha vizuri na Simba alistahili kufungwa.
Simba wamezoea kubebwa mechi ya nyuma yake alichezesha Heri Sasi uyu ndio hafai kabisa kuchezesha maana katika mechi ile Simba alistaili kufungwa si chini ya Goli nne, yeye Heri sasi peke yake alizikataa goli mbili safi.
Nawa shauri Bodi ya Ligi mechi apewe Arajiga ingawa katika mechi iliyopita kuna baadhi ya matukio nyeti aliyafunbia macho.
Rafu walizokua wakicheza Ngoma na Kagoma zilistaili Yellow na kwakua zilikua zikijirudia zilistail RED.
Nategemea Derby ijayo kama Arajiga atasimama kati kisiwe na kung'ata filimbi kwa kuyafumbia macho makosa ni kupiga Kadi.
Kuna Baadhi ya wachezaji wanapenda kujiangusha ili wapewe Penalty, naomba marefa wawafuatilie kwenye mechi tano za Nyuma wata wafahamu ao Refa si wakuwachekea watakuharibia kibarua chako ni ku piga Yellow mapema.
Kabla ya mchezo kuanza refa umweleze mchezaji mwenye tabia iyo akijiangusha bila faul nikulambwa kadi.
Mtani hata ukitukana kipigo kiko pale pale jumamosi!Ona mburura hii yaani mijitu mingine kama mikimbizi
KalpanaTFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.
Huyu refa anafaa kuchezesha ndondo cup na siyo ligi kuu
Mbona nasikia ni Arajiga?
Acha kutuandikia gazeti la kishubwada..mKayoko ni kijana mdogo si jambo la busara kumpa mechi nyingine ya Yanga na Simba kwa sasa kwakua endapo Simba