Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

Bro umepiga kwenye mshono,
Ukweli wanawake wengi tuliowaweka ndani , walikuwa, "Malaya" Wa, watu, njemba zimejipigiaweeeee! Mafala kama sie, tukakutana nao, tukatia ndani tena kwa harusi kuuuuuuuubwa!
 
Inatetegemeana na huyo mtotn ana umri gani na we una umri gani. Wengine ni wasichana wakubwa tu si vibaya kuwatafuna
 
Kwani kuna shida? Umeweka ndani unaendelea kula na kuzalisha mbegu na kukuza ukoo.shida iko wapi?
 
Mtu asiolewe kisa wewe upate pa kupumzikia ?? Unashangaza sana
huyu mtoa post ni kenge mmoja hv , kama unanunuaga malaya si wapo wamejaa mzee wa kila grade , lot of woman around unakuja kulilia mwanamke mmoja aliyeolewa aisee hii debe tupu sijawahi ona
 
Hahaha
 
Jamaa hovyo sana
 
Ndo hapo,wadada wajue ukiliwa na watu wengi,wanakua wanakuombea usiolewe ili waendelee kukula na ikitokea umeolewa wanataka usiishi nje ya mkoa waliopo ili wawe wanammegea mumeo.Inasikitisha sana mwanamke malaya kuolewa,maana tayari kunakua kuna kauzibe,humpati kirahisirahisi kama mwanzo.Pole mleta mada.
 
huyu mtoa post ni kenge mmoja hv , kama unanunuaga malaya si wapo wamejaa mzee wa kila grade , lot of woman around unakuja kulilia mwanamke mmoja aliyeolewa aisee hii debe tupu sijawahi ona
Kwenye msafara Wa Mamba
MaKenge yamo
 
Inasikitisha
 
Inatetegemeana na huyo mtotn ana umri gani na we una umri gani. Wengine ni wasichana wakubwa tu si vibaya kuwatafuna
Na ww unasupport Ujinga
Ety unasema “si vibaya kuwatafuna”
HUU UJINGA UTAISHAGA LINI
Mnatakiwa mkemee hizi hali
Watu waache Prostitution
 
Ujue nini
We mwenyewe huyo malaya unampenda kufaaaaaaaaa!
Unafikiri ni swala la mikao na matobo tuuu, hamnaaaaaaaaaaa!
Wewe na huyo Ngosha unasema wote sawa tu!
Sema mwenzio kaona hataki mambo ya kuandika thred kaona cha kufia nini, we malaya kaa humu.
Af malaya naye kafika mahesabu!
Kuna tobo flan kaguswa, kaona ah weee hem ajitulize , anawakatalia sasa mliokuwa mnamtoboa matobo mengine ambayo kashayazoea.
Na ndo wee umedata sasa!

They call it love!
Poleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…