Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Nini tena huku mkuu! Ngoja niperuzi.Pole sana mkuu kugongewa kuna uma mnoo. Mwache jamaa aweke ndani hata huyo uliyenae wewe wahuni wanamla MIXX BY YAS kama waraka wa wa yahudi ulio wafanya washindwe kula kunywa hatari sana.
Huyo uliye naye ni malaya GRAD A+ siku ukimjua ndo utajua kwanini umejua na ulikuwa hujui yaani MIXXBY YAS 5G
POLE SANA Tajiri Sina BAYA
πππ watu huko jijini daaslam wanateseka sana na mapenzi.Pole sana mkuu kugongewa kuna uma mnoo. Mwache jamaa aweke ndani hata huyo uliyenae wewe wahuni wanamla MIXX BY YAS kama waraka wa wa yahudi ulio wafanya washindwe kula kunywa hatari sana.
Huyo uliye naye ni malaya GRAD A+ siku ukimjua ndo utajua kwanini umejua na ulikuwa hujui yaani MIXXBY YAS 5G
POLE SANA Tajiri Sina BAYA
Sana asee hawana helaπππ watu huko jijini daaslam wanateseka sana na mapenzi.
Ndiyo shida kubwa maana umasikini ni maradhi, sasa jiji kubwa lenye mamilioni ya wakazi unataka umiliki mpenzi halafu awe wako mwenyewe tu, nadhani ni matumizi mabaya ya rasilimali fikra.Sana asee hawana hela
ππππWenyewe wanasema mapenzi hisia
Huyo Ngosha kakuzidi ujanja, ndo maana uko hapa unalia lia.Hii imetokea leo, sijaenda kazini nikamcheki malaya mmoja nilikua najipigia sana ila sijawasiliana nae kama miezi 7 hivi. Cha kushangaza eti anasema 'mimi sipo huko tena kaka, nimeolewa'
Baadae anaweka status yupo na boya wake wamepiga photoshoot wamevaa nguo za kufanana, nikasema kimoyomoyo huyu kama sio ngosha sijui tu.
Mmekosa wanawake huko vijijini kwenu mpaka mje kuharibu mambo ya mjini?
Piga nyetoo, ππππYeye kaweka ndani moja kwa moja ili sisi tukose, lile litoto linajua kutomba.na kinoma, sasa huyu mjinga anataka ale peke yake for good? Lkn ni swala la muda tu yatamshinda
Hapa Geita Mvua InanyeshaMkuu jua kali mno mno mno mkuu...
Ila mapambano yanaendelea tukitokea huku udom milimani
Hii imetokea leo, sijaenda kazini nikamcheki malaya mmoja nilikua najipigia sana ila sijawasiliana nae kama miezi 7 hivi. Cha kushangaza eti anasema 'mimi sipo huko tena kaka, nimeolewa'
Baadae anaweka status yupo na boya wake wamepiga photoshoot wamevaa nguo za kufanana, nikasema kimoyomoyo huyu kama sio ngosha sijui tu.
Mmekosa wanawake huko vijijini kwenu mpaka mje kuharibu mambo ya mjini?
UhakikaNdiyo shida kubwa maana umasikini ni maradhi, sasa jiji kubwa lenye mamilioni ya wakazi unataka umiliki mpenzi halafu awe wako mwenyewe tu, nadhani ni matumizi mabaya ya rasilimali fikra.
ππ€£ππππππNgosha amekuzidi nguvu za kiuchumi kijana kaa kwa kutulia
Wacha wee, dar ndio jiji lenu lakini π πMie sipo huko siku hizi nimeolewa π