Ni huzuni, nimeachana na mke wangu kisa tatizo la kukoroma usiku

Mrudishe kisha mgawane vyumba vya kulala, ukishapiga miti unahama chumba ukalale kwa raha zako, mlingoti ukisimika tena unakwenda unapiga mashine kisha unarudi zako chumbani kwako kukoroma tena simple, akigoma kurudi ujue huyo siyo wako ana bwana wake anayempenda hiyo kukoroma ilikuwa kisababu.
 
Kweli software za wanawake siku hizi hazipo sawa
Mpaka nawashangaa akona mama wa siku hizi, software sijui ni wapi hizi. Hamna kitu kabisa. Haijalishi ni profesor au mkulima
 
Usilale chali
 
Kukoroma ni ishara nyumba ina dume la mbegu. Alikuwa anataka wote mlale kama akina zuchu? Inabidi mwizi akipita nje akisikia unakoroma ajue kuna bandidu ndani.

Achana naye mwehu huyo, vuta mwingine maisha yaendelee. Mwanaume halii kuachwa, nyie vijana wa siku hizi mpoje?
 
Mpaka nawashangaa akona mama wa siku hizi, software sijui ni wapi hizi. Hamna kitu kabisa. Haijalishi ni profesor au mkulima
Hawa wanawake wa siku hizi hasa wa 90's na 2000's hawana coding nzuri ndio maana wanakuwa faulty.
 
Niliwahi kuachana na mwanamke kisa anakoroma, yaani Kuna kero kubwa sana asikwambie mtu, yeye anapiga usingizi wewe unahaha kuvumilia mkoromo.

Ukimuamsha dakika moja tu anaendelea kukoroma. Dah! Nilishindwa kabisa.

Watu wanene Wana uwezakano mkubwa sana wa kukoroma.
 
Mwizi ndio atafurahi maana atajua dume limelala fofofo
 
Ila kuna watu wanakoroma vibaya unaweza hisi nyumba inataka kuanguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…