BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kukoroma hakuhusiani na unene Mimi Nina kilo 57 ila nikiwa nimelala kwa mujibu wa wanaonisikia ni kama SimbaFanya mazoezi punguza unene, acha pombe, tafuta ile mitungi ya kupumulia ukilala, kafanye upasuaji wa kupunguza nyama kwenye njia ya hewa.