Broadcast
Member
- Jun 19, 2022
- 76
- 285
Unaweza kudhani ni jambo la mzaha au kuchekesha lakini ukweli ni kwamba tarehe 7 mwezi wa 8, 2024
Shemeji yenu ameondoka nyumbani na kuvunja mji kisa anasema amechoka na tabia yangu ya kukoroma usiku.
Ombi langu naombeni mnisaidie dawa ya kupambana na jambo hili maana hata mimi silipendi.