Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.

Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa Kuimaliza Simba SC ila wao sasa ndiyo Wanamalizwa.
 
Kumbe Simba wamekubali kwamba kipimo cha mpira wa Tz ni Wananchiiiiii..
 
sasa kwa taarifa yako mmiliki wa ihefu ni yanga pure
 
Punguzeni u Mbumbumbu simba ni mwenyeji ki kanuni ila nayeye amealikwa maana mashindano yanayo tarajiwa kuanza hayana fomula fulani ya kupata timu shiriki na mwenye mashindano ni CAF.

Izo timu zimepewa mwaliko na caf sasa mbumbumbu fc mna alikwa mnataka mjionyeshe nyie ndio wenye mashindano kwa kuonyesha mnaweza kumualika yoyote?

Nyie Mbumbumbu fc mmepata nafasi ya kishemeji zaidi kuliko utaratibu wa ki soka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo, Simba ni Ihefu iliyochangamka...!!! Basi sawa..!!
 
Safi sana huyo dada ni kilaza.
 
Bado haibadili maana kuwa huwa mnachakazwa mnooo...matokeo ni yale yale matatu ila nyie mmechagua kufeli kila siku kwa Ihefu...
 
Kama IHEFU wamealikwa kesho basi UTO hawawezi kusogea, hofuuu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…