miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Aiseeee kwa hali hii jamani hii nchi ....sio kwa ugumu huu wa maisha......jamani hii ni simu ya mwalimu tena wa sayansiView attachment 407705
Hahaaaaa...nikweli alikua kaiacha chaji[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ....nikapiga picha...... Hahaaaaa....we dada mkorofii yaani umevizia kaenda darasani umepiga picha simu yake,!!!!! umekuwa mnoko kweli.
Yaniii aisee ni kuiosoma namba.. Mpka macho yaumeDuh! Kweli usawa mgumu!
Hahaa...wamefanyeje mkuu[emoji37] Tatizo ni Fisiemu
Zimekuaje????Hizo kucha
Zimekuaje????
Halafu ukute katika list ya wanaomchuna na wewe humoo.Hahaaaaa...nikweli alikua kaiacha chaji[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ....nikapiga picha...... Hahaaaaa....
Kwahali hii nchi ni yetu but tutaihama....sio kwa shida hizi jamani
Ahsante sana haha nimegairi na kuzikata aiseeee...Nzuri
yeye kaonyesha simu ni nini lakini?Hizo kucha
Hapanaaaaa ndugu yangu... Sasa hapo nikimchuna hapo si itakua namchuna ngozi hahaaa....Halafu ukute katika list ya wanaomchuna na wewe humoo.
Ahsante sana haha nimegairi na kuzikata aiseeee...
Vp iyo simu lakini
Kwani nyie huwa mnazingatia hayoo, mbona hata kama tuna matatizo huwa mnatupiga mizinga.Hapanaaaaa ndugu yangu... Sasa hapo nikimchuna hapo si itakua namchuna ngozi hahaaa....