Ni ile hali ya kuisoma namba

Ni ile hali ya kuisoma namba

miss confidence

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
393
Reaction score
273
Aiseeee kwa hali hii jamani hii nchi ....sio kwa ugumu huu wa maisha......jamani hii ni simu ya mwalimu tena wa sayansi
1474975410998.jpg
 
we dada mkorofii yaani umevizia kaenda darasani umepiga picha simu yake,!!!!! umekuwa mnoko kweli.
 
Hahaaaaa...nikweli alikua kaiacha chaji[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ....nikapiga picha...... Hahaaaaa....
Kwahali hii nchi ni yetu but tutaihama....sio kwa shida hizi jamani
 
Halafu ukute katika list ya wanaomchuna na wewe humoo.
 
Back
Top Bottom