Ni ile hali ya kuisoma namba

Ni ile hali ya kuisoma namba

hivi huo ni mkoa gani vilee,?? nataka nije kumsalimia mwalimu wa science.
 
44e43b7249eff989688d39d60a978704.jpg
mwenzake uyu hapa
Kwamba ni mapacha ktkt vimeo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38]
 
kuna vingi vya kujadili kwenye hiyo picha...Basi tu.
 
huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
 
Tatzo sio serikali yy mwenyewe labda hajipendi anaweza pewa ela nzur na bado akamiliki simu kimeo
Sio kwa kujichukia huko aiseeeee[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
Hahaaaaa kwa kweli huku ni kuendekeza ujinga[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom