Ni ipi asili na chimhuko la kabila la Wazirankende?

Ni ipi asili na chimhuko la kabila la Wazirankende?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Habari wana wanahistoria.

Katika pitapita zangu nimepata kusikia kabila hili dogo linaloitwa WAZIRANKENDE hasa nimewasikia saana maeneo ya mkoa wa Kigoma na Kagera.

Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu chimbuko na asili ya kabila hili tafadhari naomba anipe dondoo kidogo.
 
Wazira nkede sio kabila bali ni ukoo (oluganda). Kila Muhaya huwa na ukoo wake na watu wanaotoka ukoo mmoja hawawezi kuoana. Abazira nkende ni ukoo wa abayango kwahiyo neno abazirankende ni kama a.k.a yao ambayo maana yake ni kwamba ngedere kwao ni mwiko. Nkende ni ngedere au tumbili kwahiyo watu wa ukoo huo (abayango) hawapaswi hata kumgusa huyo mnyama kwani kwao ni mwiko.

Suala la chimubuko lao ni kama tu wabantu wengine,kuna wengine wanasema walitoka Uganda n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazira nkede sio kabila bali ni ukoo( oluganda). Kila muhaya huwa na ukoo wake na watu wanaotoka ukoo mmoja hawawezi kuoana. Abazira nkende ni ukoo wa abayango kwahiyo neno abazirankende ni kama a.k.a yao ambayo maana yake ni kwamba ngedere kwao ni mwiko. Nkende ni ngedere au tumbili kwahiyo watu wa ukoo huo(abayango) hawapaswi hata kumgusa huyo mnyama kwani kwao ni mwiko.

Suala la chimubuko lao ni kama tu wabantu wengine,kuna wengine wanasema walitoka Uganda n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi wako.

Huu hauwezi kuwa ni ukoo ulio katika kabila la waha?
 
Wapo.Kigoma mkuu. Ukiulizia unaweza kuwapata

Kwa kigoma wanaitwa Abajiji Bhazirankende kwa Bukoba wanaitwa Bhazirankende hawa watu ni mwiko kula au kugusa tumbili au ngedere au nyani na mara nyingi chimbuko lao kubwa ni UGANDA hata ukiangalia walivo kwanza wana miili mikubwa lakini ni weusi pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo Ni ukoo kutoka makabila ya buha(kigoma,Burundi Rwanda,kagera,Uganda nk)na jina kamili Ni "Abhajiji wazirankende"
 
Nachojua hao cyo kabila bali koo au jamii ( clan ) zinazopatikana ktk makabila ya waha ,wahangaza ,wahutu kama ilivyo ,koo kama wajiji ,hao wazirankende ,wanyongozi n.k ambao ni waha lakini ukimuuliza ukoo anakuambia ni mzirankende n.k n.k
ndvyo ninavyofahamu
Habari wana wanahistoria.

Katika pitapita zangu nimepata kusikia kabila hili dogo linaloitwa WAZIRANKENDE hasa nimewasikia saana maeneo ya mkoa wa Kigoma na Kagera.
Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu chimbuko na asili ya kabila hili tafadhari naomba anipe dondoo kidogo
 
Umenifundisha tayari mkuu nimeelewa. Haya nifundishe pia asili ya Wazirankende, nguruwe pori wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nachojua hao cyo kabila bali koo au jamii ( clan ) zinazopatikana ktk makabila ya waha ,wahangaza ,wahutu kama ilivyo ,koo kama wajiji ,hao wazirankende ,wanyongozi n.k ambao ni waha lakini ukimuuliza ukoo anakuambia ni mzirankende n.k n.k
ndvyo ninavyofahamu
mkuu hao wajiji ndio wazirankende
 
Back
Top Bottom