MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Kama Ni hivyo magufuli ambaye alisema yeye Ni mzilankende anakuwaje msukuma??Wazira nkede sio kabila bali ni ukoo( oluganda). Kila muhaya huwa na ukoo wake na watu wanaotoka ukoo mmoja hawawezi kuoana. Abazira nkende ni ukoo wa abayango kwahiyo neno abazirankende ni kama a.k.a yao ambayo maana yake ni kwamba ngedere kwao ni mwiko. Nkende ni ngedere au tumbili kwahiyo watu wa ukoo huo(abayango) hawapaswi hata kumgusa huyo mnyama kwani kwao ni mwiko.
Suala la chimubuko lao ni kama tu wabantu wengine,kuna wengine wanasema walitoka Uganda n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app