Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Mkuu kuna makabila mengi sana nchi hii
Umenifundisha tayari mkuu nimeelewa. Haya nifundishe pia asili ya WazirankendeKajifunze kwanza kiswahili! Tafadhari =tafadhali
Mkuu kuna makabila mengi sana nchi hii
Ahsante mkuu hata kwa mwanga huu. Vipi unaweza kutugusia chimbuko la ukoo huu kama unajuaHilo sio kabila Mkuu Ni jamii(ukoo) ambayo mwiko wao ni kula tumbili
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi wako.Wazira nkede sio kabila bali ni ukoo( oluganda). Kila muhaya huwa na ukoo wake na watu wanaotoka ukoo mmoja hawawezi kuoana. Abazira nkende ni ukoo wa abayango kwahiyo neno abazirankende ni kama a.k.a yao ambayo maana yake ni kwamba ngedere kwao ni mwiko. Nkende ni ngedere au tumbili kwahiyo watu wa ukoo huo(abayango) hawapaswi hata kumgusa huyo mnyama kwani kwao ni mwiko.
Suala la chimubuko lao ni kama tu wabantu wengine,kuna wengine wanasema walitoka Uganda n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo kabila sijawahi kulisikia kigoma mbona mkuu,ni kigoma ya wapi labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aiseeHilo sio kabila Mkuu Ni jamii(ukoo) ambayo mwiko wao ni kula tumbili
Wapo.Kigoma mkuu. Ukiulizia unaweza kuwapata
Na iwe hivyoWewe wanena
Hatuna kabila kama hili Tanzania. Kuna makabila yanaanzishwa kutoka ndani ya makabila mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana wanahistoria.
Katika pitapita zangu nimepata kusikia kabila hili dogo linaloitwa WAZIRANKENDE hasa nimewasikia saana maeneo ya mkoa wa Kigoma na Kagera.
Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu chimbuko na asili ya kabila hili tafadhari naomba anipe dondoo kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifundisha tayari mkuu nimeelewa. Haya nifundishe pia asili ya Wazirankende, nguruwe pori wewe
mkuu hao wajiji ndio wazirankendeNachojua hao cyo kabila bali koo au jamii ( clan ) zinazopatikana ktk makabila ya waha ,wahangaza ,wahutu kama ilivyo ,koo kama wajiji ,hao wazirankende ,wanyongozi n.k ambao ni waha lakini ukimuuliza ukoo anakuambia ni mzirankende n.k n.k
ndvyo ninavyofahamu