Ni ipi biashara inayolipa vizuri kati ya zifuatazo?

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
512
Reaction score
398
Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha?

1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo)
2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook)
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road)
4. Duka la Simu & phones accessories
5. Duka la nguo za wanawake(Boutique)
 
kwa mtu mwenye mtaji wa 11M afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya A-town?
1. hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo)
2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook)
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road)
4. Duka la Simu &phones accessories
5.Duka la nguo za wanawake(Boutique)
4 ila mbinu tu utakazotumia kupata wateja na aina ya simu itafanya ule pesa sana tuu
 
kwa mtu mwenye mtaji wa 11M afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya A-town?
1. hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo)
2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook)
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road)
4. Duka la Simu &phones accessories
5.Duka la nguo za wanawake(Boutique)
Mjomba Kwa uzoefu wangu fanya hiyo biashara ya home appliance mm nimefanya pale kariakoo Kwa huwo mtaji ni mkubwa sana mim nikua winga kweny duka la braza yey alikuwa anauza jumla japo naye alikua anunua jumla mfano tv nch 32 star x alikua anunua Kwa 250000 yey anauza 260000 mim nikawa nauza 280000 na nikiwa najua maduka yote yanayo uza jumla mfano duka la boss lipo Pale gerezani mataa duka la hisencese,duka la Mr UK ,duka la aboder, la good vision, nilkua nikipata mteja labda anataka hincsence nch 55 naenda pale hincsence nachukua wananiuzia jumla kupitia jina la braza , shida ya hii biashara hasa baada ya corona bei ya tv imekua imesheki kidogo mara ipande mara ishike
au kama huna noma unaweza ukaza na kuza za mtumba unaunua Kwa watu unaunua Kwa kumlalia mteja,afu unapiga bei pia madish ya Azam ya asoka sana hasa uliwah unaunua mtumba Kwa watu labda wew unaunua 90 wew unauza mia 40 wakati jipya linauzwa Kwa laki mbili na kumi kama upo serious untanicheki pm manaa apo nimeelzea bra bra tu bado sjakusa sabufa nk
 
Kuuza vitu used ni hatari unaweza kuuziwa vitu vya wizi
 
Nashukuru sana kwa mda wako na ushauri wako
Ngoja nikusanye mawazo na kufanyia utafiti Idea mbalimbali na nikiwa tayari kwa idea yako nitakucheck be blessed Brother
 
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road
 
Number 2 na 3 kwa Mji wa Arusha ni uhakika kwa huo mtaji wako ila tu ulenge location nzuri na number 1 ni nzuri lakini itahitaji mtaji zaidi.

Achana na namba 4 na 5 sababu kwa Arusha kila mtu anafanya.
 
Asante sana mkuu
 
Nje ya ulizoorodhesha hapo kama unapokea mawazo mapya ningekushauri utoe 7.8m tu unnue bajaji, ila hakikisha unaendesha mwenyewe. Hutojuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mapya bado napokea mkuu
ila option hii kwangu itakuwa ngumu kwani niko tight na kibarua/kazi hivyo nataka nifavye issue nyingine ya kuniongezea kipato ambapo nitatafuta mtu wa kuisimamia, biashara nitakayoona itanifaa
 
Nje ya ulizoorodhesha hapo kama unapokea mawazo mapya ningekushauri utoe 7.8m tu unnue bajaji, ila hakikisha unaendesha mwenyewe. Hutojuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya bajaji sihafiki afanye wacha wafanye wengine coz una shida gani? Mtu una 11millions ukakimbize upepo barabarani afu jioni unakusanya vichenchi ushenzi. No no no no. Mtoa mada cancel bajaj kwanza ajali zake ni risk sana.
 
Back
Top Bottom