VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
4 ila mbinu tu utakazotumia kupata wateja na aina ya simu itafanya ule pesa sana tuukwa mtu mwenye mtaji wa 11M afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya A-town?
1. hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo)
2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook)
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road)
4. Duka la Simu &phones accessories
5.Duka la nguo za wanawake(Boutique)
5 ni Voda fasta hulali njaaa4 ila mbinu tu utakazotumia kupata wateja na aina ya simu itafanya ule pesa sana tuu
Mjomba Kwa uzoefu wangu fanya hiyo biashara ya home appliance mm nimefanya pale kariakoo Kwa huwo mtaji ni mkubwa sana mim nikua winga kweny duka la braza yey alikuwa anauza jumla japo naye alikua anunua jumla mfano tv nch 32 star x alikua anunua Kwa 250000 yey anauza 260000 mim nikawa nauza 280000 na nikiwa najua maduka yote yanayo uza jumla mfano duka la boss lipo Pale gerezani mataa duka la hisencese,duka la Mr UK ,duka la aboder, la good vision, nilkua nikipata mteja labda anataka hincsence nch 55 naenda pale hincsence nachukua wananiuzia jumla kupitia jina la braza , shida ya hii biashara hasa baada ya corona bei ya tv imekua imesheki kidogo mara ipande mara ishikekwa mtu mwenye mtaji wa 11M afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya A-town?
1. hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo)
2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook)
3. Vifaa vya umeme (Main switch, Socket breaker, Wire 2.5,1.5, squire box, earth road)
4. Duka la Simu &phones accessories
5.Duka la nguo za wanawake(Boutique)
Kuuza vitu used ni hatari unaweza kuuziwa vitu vya wiziMjomba Kwa uzoefu wangu fanya hiyo biashara ya home appliance mm nimefanya pale kariakoo Kwa huwo mtaji ni mkubwa sana mim nikua winga kweny duka la braza yey alikuwa anauza jumla japo naye alikua anunua jumla mfano tv nch 32 star x alikua anunua Kwa 250000 yey anauza 260000 mim nikawa nauza 280000 na nikiwa najua maduka yote yanayo uza jumla mfano duka la boss lipo Pale gerezani mataa duka la hisencese,duka la Mr UK ,duka la aboder, la good vision, nilkua nikipata mteja labda anataka hincsence nch 55 naenda pale hincsence nachukua wananiuzia jumla kupitia jina la braza , shida ya hii biashara hasa baada ya corona bei ya tv imekua imesheki kidogo mara ipande mara ishike
au kama huna noma unaweza ukaza na kuza za mtumba unaunua Kwa watu unaunua Kwa kumlalia mteja,afu unapiga bei pia madish ya Azam ya asoka sana hasa uliwah unaunua mtumba Kwa watu labda wew unaunua 90 wew unauza mia 40 wakati jipya linauzwa Kwa laki mbili na kumi kama upo serious untanicheki pm manaa apo nimeelzea bra bra tu bado sjakusa sabufa nk
Acha woga wewKuuza vitu used ni hatari unaweza kuuziwa vitu vya wizi
We jasiri uza basi hata sembe dingiliiAcha woga wew
Nashukuru sana kwa mda wako na ushauri wakoMjomba Kwa uzoefu wangu fanya hiyo biashara ya home appliance mm nimefanya pale kariakoo Kwa huwo mtaji ni mkubwa sana mim nikua winga kweny duka la braza yey alikuwa anauza jumla japo naye alikua anunua jumla mfano tv nch 32 star x alikua anunua Kwa 250000 yey anauza 260000 mim nikawa nauza 280000 na nikiwa najua maduka yote yanayo uza jumla mfano duka la boss lipo Pale gerezani mataa duka la hisencese,duka la Mr UK ,duka la aboder, la good vision, nilkua nikipata mteja labda anataka hincsence nch 55 naenda pale hincsence nachukua wananiuzia jumla kupitia jina la braza , shida ya hii biashara hasa baada ya corona bei ya tv imekua imesheki kidogo mara ipande mara ishike
au kama huna noma unaweza ukaza na kuza za mtumba unaunua Kwa watu unaunua Kwa kumlalia mteja,afu unapiga bei pia madish ya Azam ya asoka sana hasa uliwah unaunua mtumba Kwa watu labda wew unaunua 90 wew unauza mia 40 wakati jipya linauzwa Kwa laki mbili na kumi kama upo serious untanicheki pm manaa apo nimeelzea bra bra tu bado sjakusa sabufa nk
Asante sana mkuuNumber 2 na 3 kwa Mji wa Arusha ni uhakika kwa huo mtaji wako ila tu ulenge location nzuri na number 1 ni nzuri lakini itahitaji mtaji zaidi.
Achana na namba 4 na 5 sababu kwa Arusha kila mtu anafanya.
Mawazo mapya bado napokea mkuuNje ya ulizoorodhesha hapo kama unapokea mawazo mapya ningekushauri utoe 7.8m tu unnue bajaji, ila hakikisha unaendesha mwenyewe. Hutojuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umesomeka vyema mkuuMawazo mapya bado napokea mkuu
ila option hii kwangu itakuwa ngumu kwani niko tight na kibarua/kazi hivyo nataka nifavye issue nyingine ya kuniongezea kipato ambapo nitatafuta mtu wa kuisimamia, biashara nitakayoona itanifaa
Upo sahihi aiseeKuuza vitu used ni hatari unaweza kuuziwa vitu vya wizi
Biashara ya bajaji sihafiki afanye wacha wafanye wengine coz una shida gani? Mtu una 11millions ukakimbize upepo barabarani afu jioni unakusanya vichenchi ushenzi. No no no no. Mtoa mada cancel bajaj kwanza ajali zake ni risk sana.Nje ya ulizoorodhesha hapo kama unapokea mawazo mapya ningekushauri utoe 7.8m tu unnue bajaji, ila hakikisha unaendesha mwenyewe. Hutojuta
Sent using Jamii Forums mobile app