Ni ipi biashara inayolipa vizuri kati ya zifuatazo?

Mawazo mapya bado napokea mkuu
ila option hii kwangu itakuwa ngumu kwani niko tight na kibarua/kazi hivyo nataka nifavye issue nyingine ya kuniongezea kipato ambapo nitatafuta mtu wa kuisimamia, biashara nitakayoona itanifaa
Umewahi kufanya biashara yeyote?
Umeshawahi kufanya biashara na kumweka mtu baki kwenye hiyo biashara?

Kama hujawahi hata kidogo sikukatishi tamaa, unahitaji muda mwingi zaidi wa kujifunza kwa kufanya hata ikiwezekana uombe likizo na uache starehe na sifa uwe front line kufanya biashara. Ujitwike jukumu la kufanya kweli... la sivyo kwa mtaji huo miezi 6 sio mingi utarudi kusimulia wale tuliowahi pata pesa na kufulia
 
Biashara ya bajaji sihafiki afanye wacha wafanye wengine coz una shida gani? Mtu una 11millions ukakimbize upepo barabarani afu jioni unakusanya vichenchi ushenzi. No no no no. Mtoa mada cancel bajaj kwanza ajali zake ni risk sana.
Ukisema vichenchi unakosea. Because hata ukifingua hardware unakusanya vichenchi kama kawaida kwa siku.
Unadhani cement kwa wakala wananunua bei ngapi kwa mfuko? Wanagombania buku au buku jero kwa mfuko ni sawa na trip ya bajaji.

Au mtu anatoa 400million ananunua basi linapga tripu dar moro nauli 8000 ni aina ya vichenchi.

Tumshauri kijana mwenzetu atoboe. Atengeneze ajira kwa vijana wengine.
 

Hakuna biashara inayolipa zaidi, I nategemea na commitment ya mfanya biashara, na ujuzi wake katika biashara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…