Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Wote wanyonyaji tu maana na wao ni mawakala hivyo utakuwa wakala wa wakala
kinapatikana mfano ukiuza luku unapata 2%, vocha 5%, king'amuzi 1% pia machine zenyewe unapaswa kuzinunua max laki5 selcom wao wanauza laki4