Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Jamani naombeni kupata msaada kati ya selcom na maxmalipo ni ipi bora kuichukua, kwa maana ya kuwa wakala?
kwa kuangalia kama kuna tofauti kwenye commissions na effectiveness na vitu vingine.
Ntashukuru kupata mwangaza wakuu.
kwa kuangalia kama kuna tofauti kwenye commissions na effectiveness na vitu vingine.
Ntashukuru kupata mwangaza wakuu.