nobody knows but me
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 525
- 362
Rays ni aina ya cream....au unafanya ule utani wa kunywa Maji mengi?[emoji28] [emoji28]Rays
Ahaa....Rays.....acha utani bwana, una maanisha Yale mafuta ya zamani ya njano...ukijipaka kijiji kizima kinasikia harufu. Lol.....mkuu umetika.Rays
...oi brother ni pm basi maujanja mkuu....maana hawa wa huku versity wanapenda pesaa ndio uwa gegede.....!!!!
weka na bei basiKuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.
Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
Kuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.
Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
Haichubui ndugu yangu, inafanya unakuwa soft sana.Hivi hii queen elizabeth si ya kujichubua?
Mimi sifanyi biashara, aende kwenye maduka ya cosmetics atapata mwongozo.weka na bei basi
Aisee Dada zangu mna kazi sana hapo kwenye kujipodoa,mim nimesahau hata mafuta nimepaka linMsaada...naomba mnijuzi ni aina gani ya cream ni Nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara....huku ikimaintain natural color
mie sjasema unafanya biasharaMimi sifanyi biashara, aende kwenye maduka ya cosmetics atapata mwongozo.
Queen elizabeth ni sh elfu 23-25 inategemea na dukaweka na bei basi
we ushaitumia ?Queen elizabeth ni sh elfu 23-25 inategemea na duka
Nilishaitumia haichubui kabisa na inafanya ngozi inakuwa lainiwe ushaitumia ?
vp haichubui ngozi na je vip mabadiliko unaanza kuyaona baada ya muda gani?
samahani lakini ninaweza kuona pichaNilishaitumia haichubui kabisa na inafanya ngozi inakuwa laini