Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
525
Reaction score
362
Naomba mnijuze ni aina gani ya cream ni nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara huku ikimaintain natural color.

Asanteni.
 
Kuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.

Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
 
...oi brother ni pm basi maujanja mkuu....maana hawa wa huku versity wanapenda pesaa ndio uwa gegede.....!!!!

Kuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.

Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
weka na bei basi
 
Hivi hii queen elizabeth si ya kujichubua?
 
Msaada...naomba mnijuzi ni aina gani ya cream ni Nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara....huku ikimaintain natural color
Aisee Dada zangu mna kazi sana hapo kwenye kujipodoa,mim nimesahau hata mafuta nimepaka lin
 
Tumia natural products. Kuna shea butter ni nzuri sana. Ukiitumia utaipenda ngozi yako
 
Back
Top Bottom