Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

pia uwe unaangalia kama cream ni za oil skin au dry skin
 
Wakuu kila nikiingia Super market nakutana na Lotion hizo hizo common huwa naamini chenye ubora kinakua na bei kubwa kwa kweli Nina uhitaji wa Lotion ila Vasseline for men (Cooling), Nivea, Himalaya hearbs, Rinju nimezichoka nahitaji kuanzia 30,000+ nataka niwe kama Tray Songz isiwe inachubua.
 
Kuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.

Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
Mtajie na bei!
 
Maana bei za ariflame sio za kitoto, hiyo set anayoongelea nadhani ndio ile ya laki mbili na vipoint.
Na hali ilivyo sasa [emoji1] [emoji1] ! sijui yale mafuta ya Yolanda kwenye kamkebe yalipotelea wapi! kiwanda kilikufa au mwenye formular alikufa?
 
Na hali ilivyo sasa [emoji1] [emoji1] ! sijui yale mafuta ya Yolanda kwenye kamkebe yalipotelea wapi! kiwanda kilikufa au mwenye formular alikufa?
Hahahaaaa! Umenikumbusha mbali aisee!! Kwakweli inabidi mwenye kuijua formular asaidie kuokoa jahazi maana hali si hali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…