Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kucheka?tehe tehe tehe
sipati picha wese la dagaa usoniMbona kucheka?
nayo ipo vizuri mkuuVipi_cream_ya_palmers
Ya_cocoa_butter!!
Nilishawahi kutumia lakini sijui kwanini ulinikataa kabisa maana nilipata vipele sana ila naona watu wengi wanausifiaSijawahi kuona kilainishi kizuri na 100% natural kama huu udongo wa Bi Zainab, kweli ni wa ajabu: Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Kuna rafiki yangu pia ulimkataa!Nilishawahi kutumia lakini sijui kwanini ulinikataa kabisa maana nilipata vipele sana ila naona watu wengi wanausifia
Mtajie na bei!Kuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.
Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.
Maana bei za oriflame sio za kitoto, hiyo set anayoongelea nadhani ndio ile ya laki mbili na vipoint.Mtajie na bei!
Na hali ilivyo sasa [emoji1] [emoji1] ! sijui yale mafuta ya Yolanda kwenye kamkebe yalipotelea wapi! kiwanda kilikufa au mwenye formular alikufa?Maana bei za ariflame sio za kitoto, hiyo set anayoongelea nadhani ndio ile ya laki mbili na vipoint.
Hahahaaaa! Umenikumbusha mbali aisee!! Kwakweli inabidi mwenye kuijua formular asaidie kuokoa jahazi maana hali si hali!!Na hali ilivyo sasa [emoji1] [emoji1] ! sijui yale mafuta ya Yolanda kwenye kamkebe yalipotelea wapi! kiwanda kilikufa au mwenye formular alikufa?
Ha Ha we umelichukulia tofauti, serious kabisa wese ukipaka ngozi inakua na rangi flani hivi shida ake tu ni kuchafua nguosipati picha wese la dagaa usoni
Na kale kaharufu[emoji134] [emoji134]Ha Ha we umelichukulia tofauti, serious kabisa wese ukipaka ngozi inakua na rangi flani hivi shida ake tu ni kuchafua nguo
Ili usikasikie yachanganye na lotionNa kale kaharufu[emoji134] [emoji134]
Ooooh!!Ili usikasikie yachanganye na lotion
Hapana ni mafuta ya kawaidaHivi hii queen elizabeth si ya kujichubua?
Ila Queen Elizabeth haimfai mtu mwenye ngozi ya mafuta chunusi ndo zitaongezekawe ushaitumia ?
vp haichubui ngozi na je vip mabadiliko unaanza kuyaona baada ya muda gani?
kwiyo unaupgrade na nn ww kwa mfanoUmeona eeeh? Yan usipotafuta chakuup grade hiyo Queen Elizabeth unaweza kua kitu cha ajabu
Asante....Nivea inauzwa bei gani mkuu?! Halafu naona nivea ina range kubwa za creams, cream ipo itakua ni nzuri na bei plzNivea creme mwisho wa mchezo.