Ni ipi dawa nzuri 4 malaria?

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
wakuu,nw days naona dawa za malaria zko aina nyingi,ukienda pharamacy hi unapewa hi,ukienda kwngne unapewa nyingine.wnge wanasema tunakupa mseto.sasa suali langu ni ipi nzuri zaidi? Na kwanini unasema hyo ni nzuri?shukran..
 
mkuu ni kwambie kitu

Ukiumwa kama unahisi una malaria usiende pharmacy moja kwa moja. nenda kapime kisha uthibitishe hilo

Ukishathibitisha, daktari atakuadvise dawa inayokufaa kulingana na hali yako. Lakini kwa sas ailiyopo na uwezo mkubwa wa kutibu ni Coartem maarufu zaidi kama ALU (artimether and Lumefantrin) au MSETO kwa maneno mengine.
 
maumivu yakizidi muone daktari sie wengine wachumi tunashindwa kukushauri
 
tumia za mitishamba nenda pale muhimbili kitengo cha tiba mbadala wanadawa nzuri sana za malaria na zimedhibitishwa
 
Mie hutumia hii ya kihindi ya inaitwa Zandu wanaiuza K'Koo katika maduka ya dawa za asili ila ni chungu mno. Bei Sh 2000/= unaweza kuwa unainywa hata kila baada ya miezi miwili kuimarisha kinga chupa moja unaweza kutumia mara hata tano.
 
yes naifahamu hyo mkuu ni poa
 
Mie hutumia hii ya kihindi ya inaitwa Zandu wanaiuza K'Koo katika maduka ya dawa za asili ila ni chungu mno. Bei Sh 2000/= unaweza kuwa unainywa hata kila baada ya miezi miwili kuimarisha kinga chupa moja unaweza kutumia mara hata tano.

hiyo inapatikana mtaa gani?mzee uchungu wake waweza ufananisha na shubiri?
 
tumia za mitishamba nenda pale muhimbili kitengo cha tiba mbadala wanadawa nzuri sana za malaria na zimedhibitishwa

sasa hawa wanakupa miti kabisaa??ama just like kama unga fulani unaenda kudilute?
 
kuna dawa nilipewa pharmacy kama miaka 8 iliyopita, nilipoinywa usiku nilikuwa wa moto mpaka mtu akinigusa anahisi anaungua, nilikuwa sina nguvu kabisa, nilitaabika sana usiku ule, lakini ilipofika asubuhi utafikiri nimezaliwa upya, nina nguvu zangu zote.nilishangaa kwa kweli.
ila bahati mbaya nika miss place gamba la dawa na jina nikawa sijaishika, ila nakumbuka gamba lake lilikuwa la kijani, na nilikunywa mara moja moja.
sijui nitaipata wapi tena ile dawa,na niliporudi kuulizia pharmacy, hamna mwenye kuijua. i wish ningepata dawa moja yenye uhakika maana nasikia wachina na wahindi wanaleta dawa bongo kwa majaribio
 
dah.ths z sad.yaani africa ndo majaribio.metakeflin kwa kweli cpendi,inachosha saana mwili.
 
Sidhani kama siku hizi kuna dawa ya mararia sasa hapa kwetu tanzania nyingi zinonekana ni feki hata za msd kwani nazo zinatioka kwa hahao wahindi na wachina na kuna siku za nyuma niliwahi kuskia idhaa ya kiswahili ya bbc kua duniani kote kuna dawa nying ambazo ni feki waathirika wakubwa ni"third world countries" kwani huku kwetu mfumo mzima wa maisha ni "corrupt' mini mwenywe nina miaka 15 sijawahi kujiskia vizuri kutoka na ugonjwa huu wa malaria nimetumia dawa karibu zote za hospitali lakini wapi. Suluhisho ni kuuwa mazalio yote ya mmbu tuwache siasa za kuuza vyandarua-hii ni biashara tupu
 
Dawa nzuri kuliko zote ni ile chungu kupita yote
 
doh.sigma hyo theory yako umeitoa wp?frank ur ryt.
 
Tungeamua kuwafuatilia na kuwaangamiza wadudu hawa tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
Mimi huwa natumia metakelfin za Italy...
 
Mimi huwa mara nipatapo malaria nachukua majani ya muarobaini nayachemsha hadi yale maji yake yanakuwa kama chai ya rangi,kunywa mara 3 kwa siku then baada hapo hakuna malaria tena
 
Dawa sahihi ya kukutibu Malaria ni vizuri ukashauriwa na Daktari,
kutokana na usugu wa malaria kwa dawa zilizo nyingi, tiba effective lazima iwe ni mseto wa dawa mbili au zaidi (antimalaria ombination therapy), except kwa dwa ya kWININI bado ni potent kutumika as a single therapy.
ALU ni mfano tu wa moja ya dawa za mseto za malaria, zipo nyingine nyingi za tembe, sindano na za maji (syrup).
 
jamani tatizo tunapenda kudharau vya kwetu na kuthamini vya kigeni ila ukweli dawa za malaria zipo za mitishamba zinatibu kwa asilimia 100 mwenye ni shahidi nimesumbuliwa sana na malaria nimetumia dawa mbali mbali a garama kubwa mana sitaki kusumbuliwa lakini wapi siku moja akaja mzee mmoja nimtaalamu wa dawa mbadala akasikia nalalamika dawa zenye salpha zinavyoniumiza akaniambia umepima malaria nikamjibu ndio nina wadudu 6 akaniambia kesho nakuletea dawa juice ya malaria utakunya siku ya 3 kapime malaria ukikuta malaria ucnilipe wakuu from that day mpaka leo sisumbuliwi na malaria tena simple tu tita 1 anauza 5000
 
mkuu zipo dawa za mitishamba inatibu na azina madhara kabisa nitasema sitochoka nimetest marakibao na azijachakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…