Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu,nw days naona dawa za malaria zko aina nyingi,ukienda pharamacy hi unapewa hi,ukienda kwngne unapewa nyingine.wnge wanasema tunakupa mseto.sasa suali langu ni ipi nzuri zaidi? Na kwanini unasema hyo ni nzuri?shukran..
Mie hutumia hii ya kihindi ya inaitwa Zandu wanaiuza K'Koo katika maduka ya dawa za asili ila ni chungu mno. Bei Sh 2000/= unaweza kuwa unainywa hata kila baada ya miezi miwili kuimarisha kinga chupa moja unaweza kutumia mara hata tano.

Sidhani kama siku hizi kuna dawa ya mararia sasa hapa kwetu tanzania nyingi zinonekana ni feki hata za msd kwani nazo zinatioka kwa hahao wahindi na wachina na kuna siku za nyuma niliwahi kuskia idhaa ya kiswahili ya bbc kua duniani kote kuna dawa nying ambazo ni feki waathirika wakubwa ni"third world countries" kwani huku kwetu mfumo mzima wa maisha ni "corrupt' mini mwenywe nina miaka 15 sijawahi kujiskia vizuri kutoka na ugonjwa huu wa malaria nimetumia dawa karibu zote za hospitali lakini wapi. Suluhisho ni kuuwa mazalio yote ya mmbu tuwache siasa za kuuza vyandarua-hii ni biashara tupu