Ni ipi future na nafasi ya Paul Pogba Juve

Ni ipi future na nafasi ya Paul Pogba Juve

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Hembu tuone mm naona atapotea.

Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo.

Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri uwepo wa Erickson lazima Pogba angeonesha fundi pale kwenye namba nane
 
Huyo ni kivuruge a.k.a kirusi pale OT, sasa hivi huenda angekuwa ameshaanza kutunishiana misuli na kocha.
 
Hamna kitu hapo zaidi ya matunguli anayoyategemea
 
Back
Top Bottom