Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

Umbumbumbu unawapofusha, Hakuna binadamu/ kiumbe anayeamua hatma ya binadamu/ kiumbe mwingine. Hatma ya Haji ata Haji mwenyewe haijui isipokua Mungu.
 
Hapo Yanga penyewe anawajua GSM tu.

Pakibuma atatafuta PDG (Pedeshee) mwingine ila hasa atatimkia kwa SSB!
 
Wanayanga hawanaga uvumilivu. Natabiri Haji atatimuliwa Yanga kisha atarudi kuwaomba msamaha Simba.

Atasema kule Yanga alienda kufanyakazi baada ya kuachishwa kazi tu, Yeye hajawahi kuwa mwanayanga.

Atatoa kadi yake ya uanachama ya Simba ataiweka mezani, atajikwaruza mwilini hadi itatoka damu, kisha atasema si mnaona hadi damu yangu inarangi nyekundu? - mimi ni Simba damu, sijawahi kuwa Uto.

Atasema akiwa kule Yanga alikuwa anatoa siri nyingi za kambi ya Yanga na kuisaidia Simba kutwaa ubingwa mara kumi mfululizo.

Kule uto mwenye akili ni Baba yangu na mzee Kikwete tu!. Waliobaki wote ni kama vile hamnazo!.

Huyu ndio Haji ninaemfahamu.
HakiyaMungu watu mnavituko jamani kha[emoji28][emoji28]
 
Kwa anaejua mahala huyu anaweza enda baada ya kufurushwa huko alikojibanza kwa kimvuli cha usemaji wa timu
Mwanadamu hatma yake ni kifo tu ila ilimradi anaishi kuna mambo mengi yapo atafanya ..pengine zikamjia fursa nyingi kuliko za mwanzo. Only God knows what future hold.
 
Yeye ni chawa wa tajiri hakuna wa kumgusa hapo,na mshahara mnono analamba
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Back
Top Bottom