Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

Umbumbumbu unawapofusha, Hakuna binadamu/ kiumbe anayeamua hatma ya binadamu/ kiumbe mwingine. Hatma ya Haji ata Haji mwenyewe haijui isipokua Mungu.
 
Hapo Yanga penyewe anawajua GSM tu.

Pakibuma atatafuta PDG (Pedeshee) mwingine ila hasa atatimkia kwa SSB!
 
HakiyaMungu watu mnavituko jamani kha[emoji28][emoji28]
 
Yanga, sisi wajinga tu,furaha yetu huwa wakati wa usajiri tu,
 
Kwa anaejua mahala huyu anaweza enda baada ya kufurushwa huko alikojibanza kwa kimvuli cha usemaji wa timu
Mwanadamu hatma yake ni kifo tu ila ilimradi anaishi kuna mambo mengi yapo atafanya ..pengine zikamjia fursa nyingi kuliko za mwanzo. Only God knows what future hold.
 
Yeye ni chawa wa tajiri hakuna wa kumgusa hapo,na mshahara mnono analamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…