Ni ipi hofu kubwa ya mwanaume katika hii dunia?

Ni ipi hofu kubwa ya mwanaume katika hii dunia?

Ukifumaniwa hata kama una pesa utakuwa mdogo kama piritoni, wajuba ndio wataamua nini cha kukufanya.
Mwenye pesa hafumaniwi bali kukutwa tu na mke wa mtu, wala haitwi mgoni, huishia pia kuombwa radhi kwa usumbufu na sintofahamu iliyojitokeza 😂 😅
Tutafute hela, fedha, fweza, pesa, mifaranga, nasema tutafute hela!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Kosa vyote lakini hiyo nguvu ya kiume uwe nayo aisee.
 
Mwanaume kosa yote s pesa.... Hata hzo nguv za kiume ztaondoka ukkosa pesa[emoji23][emoji23]
 
Ukosefu wa hizo nguvu! Dunia itaniekewaje? Starehe iliyokubuhu! Vyote nikose niachiwe nguvu zangu
 
[emoji817]
Screenshot_20210215-173522.jpg
 
Back
Top Bottom