kuridhiana na wazazi,ndugu,jamaa na marafiki(japokuwa sio rahisi).Mwisho mzuri kwako ni upi?
Mwenye pesa hafumaniwi bali kukutwa tu na mke wa mtu, wala haitwi mgoni, huishia pia kuombwa radhi kwa usumbufu na sintofahamu iliyojitokeza 😂 😅Ukifumaniwa hata kama una pesa utakuwa mdogo kama piritoni, wajuba ndio wataamua nini cha kukufanya.
Kukosa uzima wa mileleOngezea iwe namba 5