Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”
Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema.