Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kama kwa mungu binadamu wote ni sawa, na mujibu wa dini Kiislamu ukifa kwaajili dini sio kosa na unapata thawabu na unapewa bikra zako 72 mpya. Na yeye alikuwa ni kipaumbele kuwashauli wenzake waliotagulia. Kuchukua bikra 72.
Na huku nayeye akizikimbia hizo bikra 72. Mm naona kupinga kifo cha sinwar ni unafiki mkubwa na kutokuujua Uislamu.
Kwa mujibu wa dini ya Kiislamu ilibidi waislamu wote duniani waungane na kuishukuru Israel kumsaidia sinwar kupata bikra zake 72.
Kwa sababu hata ingekuwaje sinwar angekufa tu.
Mm naona serikali ya tz kipinga kifo cha sinwar itakuwa ni unafiki mkubwa na itatuchafua kimataifa. kwa sababu ilitakiwa hili swala waliseme kabla. Na ukizingatia saizi tz sio nchi yenye amani tena. Watu wanapotea kila siku.
Kama yametushinda yatanzania tutayaweza ya gaza.
Hizo hadithi za bikra umezitoa kanisani ?? kama Yesu alikufa kifo cha kuuawa na yeye kapata bikira 72 ??