Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Alibaki hapo hapo Gaza kwa ajili ya kupigania madaraka yake na si kingineKupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.
Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.
Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Angekuwa anapigania madaraka angeishi uhamishoni, ili awe na uhakika wa kuishi kukilinda cheo chake.Alibaki hapo hapo Gaza kwa ajili ya kupigania madaraka yake na si kingine
We unadhani kutoka nchini kwake siyo mtihani?maadui wanafuatilia steps zako kila mahali,mbona wapo pia waliouawa huko huko uhamishoniAngekuwa anapigania madaraka angeishi uhamishoni, ili awe na uhakika wa kuishi kukilinda cheo chake.
Unatumia akili yako sawasawa? Uishi kwenye machafuko, mabomu kila siku kulinda madaraka?
Huko uhamishoni unadhani ndio angekwepa mkono wa wayahudi?Angekuwa anapigania madaraka angeishi uhamishoni, ili awe na uhakika wa kuishi kukilinda cheo chake.
Unatumia akili yako sawasawa? Uishi kwenye machafuko, mabomu kila siku kulinda madaraka?
Kumfikia malkia wa nyuki au mchwa; nyuki au mchwa wa kutosha lazima waangamie! "Kutengeneza njia sio lelemama"; but once done, angalau athari zinapungua.Naona Israel sasa hauwi wanawake na watoto ila anauwa viongozi wa makundi ya kigaidi tu
ChameleonWadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema
Hao hamas ni magaidi sio wapigania haki hivi vikundi hata wananchi wao hawavitakiKupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.
Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.
Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Alikuwa kweli mzalendo just imagine mfukoni wamemkuta na shekels 40000 sawa na 29 Millioni za kitanzania na mentos za kutafuna. Na vinginevyoAngekuwa anapigania madaraka angeishi uhamishoni, ili awe na uhakika wa kuishi kukilinda cheo chake.
Unatumia akili yako sawasawa? Uishi kwenye machafuko, mabomu kila siku kulinda madaraka?
Mbona wayahudi asilia wanasema vyengine ?? au wewe ni myahudi zaidi ya wenyewe ??Hao hamas ni magaidi sio wapigania haki hivi vikundi hata wananchi wao hawavitaki