Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?


Hizo hadithi za bikra umezitoa kanisani ?? kama Yesu alikufa kifo cha kuuawa na yeye kapata bikira 72 ??
 
Alibaki hapo hapo Gaza kwa ajili ya kupigania madaraka yake na si kingine
Una uhakika ni madaraka!?
Ni kina nani waliiganya Gaza kujitawala kama sio Hamas?
Hata historia ya Gaza unaijua wewe!?
 
We unadhani kutoka nchini kwake siyo mtihani?maadui wanafuatilia steps zako kila mahali,mbona wapo pia waliouawa huko huko uhamishoni
Unaongea pumba we jamaa sijui ni kichaa au mwendawazimu.
 
Huko uhamishoni unadhani ndio angekwepa mkono wa wayahudi?
Oct 7 itakuwa siku ya kumbukumbu kwa wapelestina na hawatarudia ku support upuuzi wa kigaidi km walioufanya Hamas. Imekuwa ni mahangaiko makuu kwa watu wa Gaza
Tulio wewe nguruwe pori.
Usisahau hao mashoga wenzake wa Israel unaowashabikia ndio walianza kuua na kukanyaga watu na vifaru Agosti 23.
Usisahau kuwa kila mwaka raia takriban 40+ hususan watoto chini ya miaka 12 wanakamatwa na IDF na kuwekwa jela za watu wazima.
Hivi wewe una akili kuliko viongozi wa Ireland,Belgium,Brazil,Spain,Cuba na Colombia!??
Wewe si takataka tu kwa hao viongozi!?
Hao wamesadikisha ukweli kuwa Israel ni taifa la KISHENZI na wamevunja nao mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
 
Israel hata uende huko uhamishoni inakuulia huko huko mfano Ismaili Haneyeh alipigiwa hapo hapo Iran kwa hiyo Sinwar ameona kwenda uhamishoni ni kazi bure Israel hamshindwi
 
We nguruwe wa kufugwa nenda kawasaidie hao magaidi
Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Kila mtu anatambua Israel ndio gaidi.
Ndio maana Adolf Hitler alisema amewaacha dunia ijionee ni wanyama wa aina gani hawa.
Kizazi chako chote hakimfikii kifikra Hitler hata robo.
 
Wacha wavune walichokitaka. October 07/ 2023 Walipanda mbegu hii.
Na hapo naona watalipiza tena makombora 200 toka Iran.
 
Ugaidi ni nini kwa tafsiri yako?
 
Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Kila mtu anatambua Israel ndio gaidi.
Ndio maana Adolf Hitler alisema amewaacha dunia ijionee ni wanyama wa aina gani hawa.
Kizazi chako chote hakimfikii kifikra Hitler hata robo.
Vipi Mohammad na Hitler nani ana akili nyingi kuliko mwenzie?
 
Kwahiyo leo viongozi wa hayo mataifa uliyoyataja wana akili sana? Sio ninyi munaodai kuwa hao ni mashoga kwahiyo akili hawana?
 
Kwahiyo leo viongozi wa hayo mataifa uliyoyataja wana akili sana? Sio ninyi munaodai kuwa hao ni mashoga kwahiyo akili hawana?
Uliwahi kunisikia nikiongea hilo!?
Humu ndani miaka yote huwa anasemwa USA na washirika wake.
Aya mbona unanilisha maneno ambayo sikusema!??
 
Alikuwa anaishi kwa kujificha!

Hata hivyo alikuwa ana kosa njia ya kutorokea maana Israel amebrock kila pande
 
Twende sawa tudai wanapewa mabikra 72 kama mlivyofundishwa kanisani. Ipi inaingia akili binadamu kuvalishwa kichupi ili msamehewe dhambi na kumuabudu au bikra 72 ambazo hata mfalme Mswati anafanya kila mwaka na Suleiman alitenda kwa mujibu wa historia?
Kwanza mwanaume kamili asili yake anapenda wanawake labda awe shoga.
 

Msimamo wa serikali ya tanzania ni huu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…