Umesema kweli kabisa.Binafsi sio mwanamke anaetaka kukombolewa bali naona kuna uongo ndani yake.
Mwanaume ukikubali mkeo akaingia kwenye harakati hizi nyumba yenu imekwisha.
Umesema kweli kabisa.
Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?Binafsi sio mwanamke anaetaka kukombolewa bali naona kuna uongo ndani yake.
Mwanaume ukikubali mkeo akaingia kwenye harakati hizi nyumba yenu imekwisha.
Kila siku tunasikia mikutano, matamasha, makongamano na sherehe pia ya kuwa Mwanamke amekombelewa kutoka katika dhiki na manyanyasho au anaendelea kukombolewa.
Swali langu amekombelewa toka wapi na sasa yuko wapi na ipi faida ya kukombolewa Mwanamke na hasara zake ni zipi?
Umejibu vyema lakini nadhani wengi wa kimjini mjini hawajui kuwa huko vijijini bado kuna wenzao wanakeketwa, wanaachishwa shule n.k , mfumo dume uliopo mijini na vijijini ni tofauti sana huko vijijini ni kama ukoloni kabisa, hizi harakati inabidi zielekeze nguvu ziadi huko vijijini ndani ndaniJibu umeshaliandika.
Anakombolewa kutoka kwenye dhiki na manyanyaso na kutokuwa na elimu, na kukeketwa na kuozwa kwa lazima.
Faida zake ni, Sasa hivi wanawake wana elimu, wanafanya kazi wanajisimamia wenyewe. Yaaani tunang'araaaaa.
Hamna hasara labda kwa wanaume wasiojiamini.
Na hii ndio dhumuni ya hizo harakati, kufikia hayo maeneo na kumkomboa huyo mwanamke.umejibu vyema lakini nadhani wengi wa kimjini mjini hawajui kuwa huko vijijini bado kuna wenzao wanakeketwa, wanaachishwa shule n.k , mfumo dume uliopo mijini na vijijini ni tofauti sana huko vijijini ni kama ukoloni kabisa, hizi harakati inabidi zielekeze nguvu ziadi huko vijijini ndani ndani
Hakuna jibu nililo andika hapo, zaidi ya kuwasilisha yale tunayo yasikia katika vikao vyenu.Jibu umeshaliandika.
Anakombolewa kutoka kwenye dhiki na manyanyaso na kutokuwa na elimu, na kukeketwa na kuozwa kwa lazima.
Faida zake ni, Sasa hivi wanawake wana elimu, wanafanya kazi wanajisimamia wenyewe. Yaaani tunang'araaaaa.
Kama huoni hasara basi wewe bado upo katika giza la harakati hizo, na si mkweli.Hamna hasara labda kwa wanaume wasiojiamini.
Usiwe unawaza kubishana, hasa sisi. Waza kusema kweli na kujenga hoja......naogopa kuchangai Sina nguvu ya kubishana leo
Ajabu ipo wapi kuwa zaidi ya mwanaume? Kama uwezo anao kumzidi mwanaume kuwa mpoleKwa hiyo kukombolewa huko ndio mtake kuwa kama wanaume?
Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume.Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?
Unajua kuna maeneo hadi leo mwanamke ruhusiwi kusoma na anaozwa akiwa na miaka 6 kwa lizee la miaka 50?
Unajua kuwa wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini wananyanyasika? Mume haachi matumizi akirudi kalewa anapiga kwanzia mke hadi watoto?
Hayo ni machache, msiwe mnajadili mambo ambayo hamyajui .
Yaan kwa kifupi ni kwamba mwanamke pia alizaliwa kwa kusudi la Mungu na ana ndoto zake za kutimiza maishani, aachwe atomize ndoto zake hata ziwe kubwa vipi asiwekewe vikwazo kama vilivyopo sasa hiv kwenye jamii kwa ujumla.Ajabu ipo wapi kuwa zaidi ya mwanaume? Kama uwezo anao kumzidi mwanaume kuwa mpole