Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 574
Ni kweli kabisa na kwa kweli hakuna anayetaka kuwa mwanaume but tuacheni na sisi tutimize ndoto zetu duniani tumeumbwa kwa kusudi na Mungu.Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume.
Mwanamke hawezi kuwa mwanaume na mwanaume hawezi kuwa mwanamke.
Tutaendelea kubishana lakini huo ndio uhalisia na haubadiliki unless Mungu aumbe ulimwengu mpya.
Anakombolewa kutoka katika sheria kandamizi za kiutamaduni na kidini, ambazo zinamnyika haki yake mfano kwenye urithi watoto wote ni sawa kwanini mwanaume achukue kingi kuliko mwanamke, mfano wa tabia kama hizi lazima zifike mwisho
Hatukatai mwanamke kujituma lakini hizi motto zenu ni za kupeana vichwa na kiburi na kuona hakuna umuhimu wa wanaume kwenu. Ni hatari sana ukishakuwa na mawazo hayo ndani ya nyumbaNi kweli kabisa na kwa kweli hakuna anayetaka kuwa mwanaume but tuacheni na sisi tutimize ndoto zetu duniani tumeumbwa kwa kusudi na Mungu.
Ukiona mkeo ana uwezo wa kufanya kitu Cha mafanikio msupport kwa faida yake, ya familia kwa ujumla nakuapia atakupenda na kukutiii mnooo, kuliko kumgandamiza kwa uoga wa kukupita, ataigiza tu kwa muda ila siku akipata chance ndo wanakuwaga nyoka
Wewe Umefanya nini?Ni kweli kabisa na kwa kweli hakuna anayetaka kuwa mwanaume but tuacheni na sisi tutimize ndoto zetu duniani tumeumbwa kwa kusudi na Mungu.
Ukiona mkeo ana uwezo wa kufanya kitu Cha mafanikio msupport kwa faida yake, ya familia kwa ujumla nakuapia atakupenda na kukutiii mnooo, kuliko kumgandamiza kwa uoga wa kukupita, ataigiza tu kwa muda ila siku akipata chance ndo wanakuwaga nyoka
Kuna mada fulani ilikuja hukusu kuuzwa kwa watumwa ,ikaonekana machifu ndio walikuwa wanawauza watumwa kwa sababu walipewa zawadi ndogo ndogo, mm naomba kuuliza je kuna ngariba wa kiume ambae anakeketa wanawake? Je ktk swala zima la kukutwa na anahusika zaid kati ya kamati ya kikeni na kamati na kiumeni? Ukweli halisi wanawake ndio huwakeketa wanawake wenzio na wao ndio chanzo cha haya yooote. Kinachotakiwa hapa ni kwamba iyanzishwe elimu ya jitambue ifundishwe mashuleni ambayo itamfanya mwanamke ajitmbue yeye ni nani anatakiwa afanye nn akinyimwa uhuru wa kuendelea kimasomo afanye nn nk, lkn hawa wanaharakati wanaotaka kujikomboa wengi ni watu wazima, wengi wameshamaliza elimu ,wengi washazalishwa,wengi wanataka uhuru wa kumiliki mali sawa na mwanaume,Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?
Unajua kuna maeneo hadi leo mwanamke ruhusiwi kusoma na anaozwa akiwa na miaka 6 kwa lizee la miaka 50?
Unajua kuwa wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini wananyanyasika? Mume haachi matumizi akirudi kalewa anapiga kwanzia mke hadi watoto?
Hayo ni machache, msiwe mnajadili mambo ambayo hamyajui .
Ni kweli kabisa na kwa kweli hakuna anayetaka kuwa mwanaume but tuacheni na sisi tutimize ndoto zetu duniani tumeumbwa kwa kusudi na Mungu.
Ukiona mkeo ana uwezo wa kufanya kitu Cha mafanikio msupport kwa faida yake, ya familia kwa ujumla nakuapia atakupenda na kukutiii mnooo, kuliko kumgandamiza kwa uoga wa kukupita, ataigiza tu kwa muda ila siku akipata chance ndo wanakuwaga nyoka
Kinachotakiwa hapa ni kwamba iyanzishwe elimu ya jitambue ifundishwe mashuleni ambayo itamfanya mwanamke ajitmbue yeye ni nani anatakiwa afanye nn akinyimwa uhuru wa kuendelea kimasomo afanye nn nk,
Kama jambo haulijui unauliza na sio unachangia kama unalijua vile.Mjadala siku zote huwa ni kwa mambo ambayo hatuyajui na yenye utata. Sa jambo kama unalijua utalijadili la nini?
Hivi unaelewa unachoandika?Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume.
Mwanamke hawezi kuwa mwanaume na mwanaume hawezi kuwa mwanamke.
Tutaendelea kubishana lakini huo ndio uhalisia na haubadiliki unless Mungu aumbe ulimwengu mpya.
Nani amesema anataka kuwa kama mwanaume?Kwa hiyo kukombolewa huko ndio mtake kuwa kama wanaume?
Mwanamke bila mwanaume e...??Nani amesema anataka kuwa kama mwanaume?
Hivi n kweli wañaume hawanyanyaswi?Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?
Unajua kuna maeneo hadi leo mwanamke ruhusiwi kusoma na anaozwa akiwa na miaka 6 kwa lizee la miaka 50?
Unajua kuwa wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini wananyanyasika? Mume haachi matumizi akirudi kalewa anapiga kwanzia mke hadi watoto?
Hayo ni machache, msiwe mnajadili mambo ambayo hamyajui .
Hili la kunyanyasika si hoja ya msingi, sababu mwanamke anayo haki ya kuomba talaka na kuachika, akiona hili ni haki yake aoombe talaka. Kadhalika nijuavo mimi Mwanamke hawezi kuishi sehemu yenye manyayaso.Unajua kuwa wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini wananyanyasika? Mume haachi matumizi akirudi kalewa anapiga kwanzia mke hadi watoto?
Kwahiyo majibu ya kumtoa katika huu mtihani ndiyo kumfundisha ajilinganishe na sisi ?Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?